Ben pol nae haelewekag yule
Seven MoshaVipi kuhusu alikiba?
Wazuri huishia kuliwa na masharobaro na kutemwa.wachache sana wanaobahatika kupata wanaume wa ukweli.Mirad ayo, alikuwaga na classmet wangu ireen M sijui bado wako wote? Ireen alivyokuwa mzuri dah mapenzi upofu
nasikia ni bwabwa etiVipi kuhusu alikiba?
Hatarii! Kidoti kapoteza nafasi?Seven Mosha
Hahahaha! Sizani kama ni bwabwa angekuwa hana watoto ningeamini maneno yako.nasikia ni bwabwa eti
Baada ya kupakwa "wese??"Siku hizi tunamuelewa