Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda mjini ukaulize madereva taxi, kuhusu wahindi wa kiume hufanyaje kabla ya kukutana na wake zao.
Nenda insta kamtafute kwa " mke wa professor jay" utamuonaMie cjawah sikia wala muona dem wa Prof Jay,jaman mwenye info juu ya huyu jamaaa aziweke hapa
Sent from my iPhone using JamiiForums.&[HASHTAG]#128297[/HASHTAG];&[HASHTAG]#128296[/HASHTAG];
Mkuu sikujua hilo la kudinda...nilijua ni bwabwa tu pekee......Martin Kadinda ni bwabwa...
Na yupo kinyume na hilo jina lake la pili..
HADINDI.
Ben pol kamuoa nani?Martin Kadinda ana dem, Adam mchomvu ana mke kabisaaaa, Ben Pol ana mke piaaaa
Martin Kadinda ni bwabwa...
Na yupo kinyume na hilo jina lake la pili..
HADINDI.
Namba 6. Hamisi Mandi a.k.a B12 pamoja na kashfa zinazomuandama na kuimbwa na Vinega kwenye ant-virus kuwa ni ..... Naye ana mpenzi wake na ukiangalia account yake ya insta both yeye na girlfriend wake wanajionyesha adharani pia ana mtoto wa takriban miaka 4 aitwae Jermaine Hamis Mandi aliye zaa na airhostess wa Precision air aitwae Janeth Nyambo baada ya kuachana sasa yupo na girlfriend mpya ambaye naye anawatoto wawili mapacha.
Chuo chako kinatoa wahitimu wazuri!Adam alinipokonya demu wangu aisha kisa ye ni maarufu, nammaindi hadi keso
1. Martin Kadinda
Ni mwanamitindo maarufu apa bongo, na anayefanya vizuri kwenye tasnia hiyo, pia ni manager wa wema sepetu. Huyu amekuwa akipiga picha na warembo tofauti tofauti , ila haijawahi kuripotiwa popote mrembo anayetoka nae ata kwa kupakaziwa.
2. Salama Jabir
Huyu ni mtangazaji wa mkasi TV show, mbali na muonekano wake wa kuvutia ila hadi Leo haijawahi kuripotiwa mtu anayemmliki hata kwa kusingiziwa.
3.Ben Pol
mwanamuziki classic wa bongo fleva, achilia mbali muonekano wake wa kuvutia , naye mpaka Leo mpenzi wake hajulikani, na wala haijawahi kuripotiwa popote kama ana mpenzi au la.
4. DJ Fettty
Huyu ni mtangazaji wa clouds FM, ana sura na umbo la kuvutia , ila hadi Leo haijulikani mtu anayekula mzigo nani, japo kwa kusingiziwa
5.Millard Ayyo
Mtangazaji machachari kutoka clouds FM, pamoja na utanashati wake ila haijawahi kuripotiwa popote kama yupo kwenye mahusiano na haijulikani mpenzi wake ni nani
6. B 12
Huyu kama ilivyo kwa Millard, hajawahi kuhusishwa na scandal yeyote ya kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi, haijulikani kama yupo au la.
7. Adam Mchonvu
huyu pia hajawahi kusikika au kuhusishwa na mahusiano ya aina yeyote.
8.Ally Rehmtulah
Mbunifu wa mavazi, naye huyu hajawahi kuhusishwa na wala haijuilikani kama ana mpenzi au la.
Ben pol kamuoa nani?