warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
- Thread starter
- #221
Hahahaha binamu wewe sio mzima.Yani yule mwenye kisauti kama demu sijui ndio anaitwaje yani ananikeraga kwa kuingiza maswali wakati mtu bado hajamaliza kueleza lenyewe unakuta limeishadandia kuuliza swali jingine
Mi naiitaga misukule ya salama, maana salama ndo anawabeba, yani mijanaume mizima ila salama anawazidi skills na swagga, yani hawajawahi kunoga wale, wapo wapo tu kama misukule, sijui salama anawapendeaga nini, si bora waniweke warumi mie nadhan kipindi kitanoga, maana jamaa hawajuagi vitu vingi kuhusu mastaa ndio maana uwa wanang'aa masharubu tu
Last edited by a moderator: