Wasanii ambao wapenzi wao hawajulikani

Wasanii ambao wapenzi wao hawajulikani

Hivi demu kabisa anayegegedwa na Le Tamkoz hapa mjini ni nani?
 
Kweli nimeamini wabongo.....wambeya...
Inawezekana wakawa wanakufahamu....kuliko wewe unavyojifahamu......

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
1. Martin Kadinda

Ni mwanamitindo maarufu apa bongo, na anayefanya vizuri kwenye tasnia hiyo, pia ni manager wa wema sepetu. Huyu amekuwa akipiga picha na warembo tofauti tofauti , ila haijawahi kuripotiwa popote mrembo anayetoka nae ata kwa kupakaziwa.

2. Salama Jabir

Huyu ni mtangazaji wa mkasi TV show, mbali na muonekano wake wa kuvutia ila hadi Leo haijawahi kuripotiwa mtu anayemmliki hata kwa kusingiziwa.

3.Ben Pol

mwanamuziki classic wa bongo fleva, achilia mbali muonekano wake wa kuvutia , naye mpaka Leo mpenzi wake hajulikani, na wala haijawahi kuripotiwa popote kama ana mpenzi au la.

4. DJ Fettty

Huyu ni mtangazaji wa clouds FM, ana sura na umbo la kuvutia , ila hadi Leo haijulikani mtu anayekula mzigo nani, japo kwa kusingiziwa

5.Millard Ayyo

Mtangazaji machachari kutoka clouds FM, pamoja na utanashati wake ila haijawahi kuripotiwa popote kama yupo kwenye mahusiano na haijulikani mpenzi wake ni nani

6. B 12

Huyu kama ilivyo kwa Millard, hajawahi kuhusishwa na scandal yeyote ya kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi, haijulikani kama yupo au la.

7. Adam Mchonvu

huyu pia hajawahi kusikika au kuhusishwa na mahusiano ya aina yeyote.

8.Ally Rehmtulah

Mbunifu wa mavazi, naye huyu hajawahi kuhusishwa na wala haijuilikani kama ana mpenzi au la.

Haha.! WHAT A THREAD. UZI HUU NDO NAUONA LEO.

EM NIANZIE 1ST TO LAST PAGE.

MAANA NINA HASIRA NA SALAMA JABIR., NA DJ FETTY.
 
so Geez was fkn fetty..!! Sory 4 ur loss n GEEZ ,, R.I.P
 
dah wadau warumi nipo kwa viti verefu hapa, nashindwa fuatilia page to page. Nisaidie tu., nani anamla SALAMA JABIR.,, coz me mysel i fell INN with her tangu 2005 alipokua akiwakilisha pale EATV.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom