Wasanii ambao wapenzi wao hawajulikani

Wasanii ambao wapenzi wao hawajulikani

Mie cjawah sikia wala muona dem wa Prof Jay,jaman mwenye info juu ya huyu jamaaa aziweke hapa


Sent from my iPhone using JamiiForums.&[HASHTAG]#128297[/HASHTAG];&[HASHTAG]#128296[/HASHTAG];
Nenda insta kamtafute kwa " mke wa professor jay" utamuona
 
Namba moja na namba tano nikisema hamtaamini........kuna wengine kuwa na mtoto sio shida kama nambamoja ila mh........CIA bongo inaongoza sana iko damuni ......inshirt kuna kadhaa hapo wawili na proof wanaingi.......au wanajihusisha na ....ya .....jins... . .one....usiniulize nimejuaje...intelijensia ya jamii inafanya kazi
 
Huyo demu Janeth ni Rubani bwana
Namba 6. Hamisi Mandi a.k.a B12 pamoja na kashfa zinazomuandama na kuimbwa na Vinega kwenye ant-virus kuwa ni ..... Naye ana mpenzi wake na ukiangalia account yake ya insta both yeye na girlfriend wake wanajionyesha adharani pia ana mtoto wa takriban miaka 4 aitwae Jermaine Hamis Mandi aliye zaa na airhostess wa Precision air aitwae Janeth Nyambo baada ya kuachana sasa yupo na girlfriend mpya ambaye naye anawatoto wawili mapacha.
 
1. Martin Kadinda

Ni mwanamitindo maarufu apa bongo, na anayefanya vizuri kwenye tasnia hiyo, pia ni manager wa wema sepetu. Huyu amekuwa akipiga picha na warembo tofauti tofauti , ila haijawahi kuripotiwa popote mrembo anayetoka nae ata kwa kupakaziwa.

2. Salama Jabir

Huyu ni mtangazaji wa mkasi TV show, mbali na muonekano wake wa kuvutia ila hadi Leo haijawahi kuripotiwa mtu anayemmliki hata kwa kusingiziwa.

3.Ben Pol

mwanamuziki classic wa bongo fleva, achilia mbali muonekano wake wa kuvutia , naye mpaka Leo mpenzi wake hajulikani, na wala haijawahi kuripotiwa popote kama ana mpenzi au la.

4. DJ Fettty

Huyu ni mtangazaji wa clouds FM, ana sura na umbo la kuvutia , ila hadi Leo haijulikani mtu anayekula mzigo nani, japo kwa kusingiziwa

5.Millard Ayyo

Mtangazaji machachari kutoka clouds FM, pamoja na utanashati wake ila haijawahi kuripotiwa popote kama yupo kwenye mahusiano na haijulikani mpenzi wake ni nani

6. B 12

Huyu kama ilivyo kwa Millard, hajawahi kuhusishwa na scandal yeyote ya kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi, haijulikani kama yupo au la.

7. Adam Mchonvu

huyu pia hajawahi kusikika au kuhusishwa na mahusiano ya aina yeyote.

8.Ally Rehmtulah

Mbunifu wa mavazi, naye huyu hajawahi kuhusishwa na wala haijuilikani kama ana mpenzi au la.

Asilimia 90 ya wanaume kwenye hiii listi yako hawana marinda
 
Back
Top Bottom