Hahaaaa hamna hao ninao wajua coz mambo yao yako wazi.
Kidoti baada ya kuachana na Domo then akawa na Hashim Thabeet kwa sasa sijui.
Ay anademu wake alishawahi kuwekwa humu JF.
Madam Rita sijui kwakweli
madam ritaa anachukuliwa na haji ramadhan
na we nasikia ni nanilihii
Mwasiti nae sijamsikia ngololo wake, ivi ana mtu kweli yule? Maana mmh
Hotee naona mnapiga stori. Salama jbiri sijapata stori yake mana naona bora angeumbwa kama mimi. Jabari la kiume kwani hayupo kwenye lile jinsia aliloumbwa nalo
Kuna wanaume wanapenda.....yani akufanyie huo ushenzi na akudhalilishe afu bado unampokea....Salama alimuweka ndani mke wa kinje kale kabinti kadogo alikokaoa, salama alimkoleza had demu kakimbia kwa mume wake akahamia kwa salama, jamaa akamaind sana akaona kadhalilishwa kuzidiwa ujanja na mwananmke , ikabdi aende kushtak kwa wazazi wa mwanamke, demu akarudishwa kwa mume jamaa ikabidi amwamishe wife south Africa amkwepe salama, chezea kistuli jabir
Hiyo ilikuwa zamani. Naskia sasa Sam anatoka na b twangala
B twangala ndio nan
Bonny mwaitege
Kha manake nan kaolewa halo kat yao
Na bicheka anatulizwa na nanii?? Maana najua watoto wa mjin hawawez kumuachaa
ata mimi nasikia sikia tu