Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Haji ramadhanj ndo nani?
alikuwa mshiriki wa BSS huyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haji ramadhanj ndo nani?
B twangala ndio nan
Adam alinipokonya demu wangu aisha kisa ye ni maarufu, nammaindi hadi keso
Mwasit anatok na mh nyepesi
ukiona watu wanficha wapenzi wao,
ujue hao either ni malava lava,
ama, wanaogopa kuchapiwa na wanaowazidi mbinu za medani..
Dogo asley
Adam alinipokonya demu wangu aisha kisa ye ni maarufu, nammaindi hadi keso
alikuwa mshiriki wa BSS huyo
Pia hawapendi maisha yao binafsi yawe exposed
Ila nyepesi nae ana demu wake wazamanii anaitwa Jackie kamasikosei na bado wapo huyo atakuwa mchepuko wake.
Salama jabir anang'atwa na Fareed Kubanda .
Mh ndo kajiweka apo , nasikia kamnunulia mkoko wa maana hadi kigoma katambulishwa soon tutasikia dada huyo anaolewa
Cc: #kantangaze
Salama alimuweka ndani mke wa kinje kale kabinti kadogo alikokaoa, salama alimkoleza had demu kakimbia kwa mume wake akahamia kwa salama, jamaa akamaind sana akaona kadhalilishwa kuzidiwa ujanja na mwananmke , ikabdi aende kushtak kwa wazazi wa mwanamke, demu akarudishwa kwa mume jamaa ikabidi amwamishe wife south Africa amkwepe salama, chezea kistuli jabir
Binamu yangu kwa ma breaking news nakuaminia lol
kama Dautch velle, kama aljazeera......
naomba kujua demu wa kaseja!" mana nackia nae ni wale wale.
naomba kujua demu wa kaseja!" mana nackia nae ni wale wale.
mbona watetea majani au weye pia walipuliza nn?Sasa tatizo liko WAP
kwani kuvuta Bangi kunahusiana nn name hisia labda ndo taste same na
zinampiga mzigo fresh kama we unamind hao masharobaro fresh tu ila
usiseme anachukuliwa na wavuta Bangi utadhani kuvuta Bangi ni ishu
kuubwaa