heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
B-12 punga.....
mpenzi wa Dozen ni Shadee wa clouds tv,wanaomfahmu wamemfahmu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
B-12 punga.....
madame lita baada ya kupigana chini na mengi akawa anakula na dogo ali kiba.kwa sasa cjuiQn of Sheba uko juu
Dah hata sijui ni kuambiaje maana nyimbo anazoimba ni ngumu alafu sio maarufu kiivyo aliimba wimbo kama mtoto wa kiume, Mimi aliowashirikisha jay mo, chid beenz na fid hizo alizitoa mwaka 2008/9 hv karibuni hana hata singo mpya
anayo, aliitoa baada ya kuzushiwa kafariki mwaka huu
Kwani wanaopakuliwa hawana mademu? Ray n Hemed mbona wanafumua sana mademu na wao wanaliwa..ur point ya kumtetea b 12 is too weak besides kutokuwa na Demu haimaanish ni punga..
True B12 ana demu na mtoto juu wa miaka 4 lakini bado ni ubwabwa.
Picha yakee jamanii
Picha ya mtoto au B12 maana zote zipo instagram
Za b12 sipo instagram
Pen paul alikuwa anadate na kdent cha ifm doz days
Adam mchomvu anadem ake anaitwa Aisha alishamtungia hadi wimbo
Salama......mlaji
Dj fett......alikuwa anadate na giz mabovu
Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
True B12 ana demu na mtoto juu wa miaka 4 lakini bado ni ubwabwa.
mpenzi wa Dozen ni Shadee wa clouds tv,wanaomfahmu wamemfahmu
Mchomvu-Aisha na wanaish pamoja
Salama J- alishawah kumdate Fid q
hahaa ya couple zilizonichekesha ni ya Dj fetty na Mabov pamoja na Salama na Fid q
Chakulaa hiyoo
Mwasiti nae sijamsikia ngololo wake, ivi ana mtu kweli yule? Maana mmh