Wasanii ambao watakumbukwa hata kama muziki ukiwatupa mkono

Kweli apo kiba atoke maana sioni alichofanyia mziki wa bongo zaid yakupita anamopita mond
Mkuu sio kama nashabikia hizi team zisizo na viwanja Ila naoma kuhoji. Hivi ni wimbo gani wa mond ambao hata ukiusikia sasahivi bado haupotezi ubora( hauchuji)???
 
Wasanii hawa ata ikitokea mziki ukawatupa mkono ila legacy yao itabaki milele kwenye bongo flava

1. Prof Jay
2. A.Y
3. Juma nature
4. Alikiba
5. Diamond
We jamaa hacha mambo yako
1. Prof Jay
2. Lady Jaydee
3. Juma nature
4. Diamond
5. Alikiba/...........
 
Wasanii hawa ata ikitokea mziki ukawatupa mkono ila legacy yao itabaki milele kwenye bongo flava

1. Prof Jay
2. A.Y
3. Juma nature
4. Alikiba
5. Diamond

Saida Koroli Je?

Bushoke je? Mbona wanitazama, kisha waanza kulia ..

Bob Rudala je!

Q-Chief je

Sugu! Mbunge huyo!

Labda kama unaongelea wasanii wenye kuimba nyimbo za mapenzi mapenzi tu!
 
Huyo Afande Sele labda tutengeneze list ya wavuta bange.
Sawa. Ila kwa kazi za Afande Sele sio mond wala kiba wakumfikia.
Nitajie wimbo mmoja tu wa hao wasanii wa sasa unaoweza kuufananisha na nyimbo za Afande.
 
Sawa. Ila kwa kazi za Afande Sele sio mond wala kiba wakumfikia.
Nitajie wimbo mmoja tu wa hao wasanii wa sasa unaoweza kuufananisha na nyimbo za Afande.
Baelezee mukuru, abajui mutu ya moro afande sele! .. "kioo cha jamii"
 
Mkuu sio kama nashabikia hizi team zisizo na viwanja Ila naoma kuhoji. Hivi ni wimbo gani wa mond ambao hata ukiusikia sasahivi bado haupotezi ubora( hauchuji)???
Nyimbo zote Duniani huwa zinachuja - Hakuna wimbo ambao huwa hauchuji Dunia, ila Kila mtu ana nyimbo zake ambazo huwa zinamkumbusha kumbukumbu fulani kwenye maisha.Basi. Laiti kama Ingekuwa kuna nyimbo hazichuji, Msanii angekuwa anatunga WIMBO Mmoja tu then anaacha Muziki - Kwanini utoe Ngoma mara kwa mara " WHY " Wakati nyimbo zako hazichuji ?

Note. Ukiona mtu anatumia vijineno kama Ujumbe, Sauti, Mzuri Mzuri, KUdumu kwa wimbo, Live band - Ujue ni mpuuze GRADE A, MPUUZE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…