Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nn kakaToa Kiba weka Lady Jaydee
Jide amefanya mengi ya kukumbukwa zaidi ya KibaKwa nn kaka
Huyo Afande Sele labda tutengeneze list ya wavuta bange.Hapo kwenye mond na kiba ondoa.
Weka Afande Sele na Lady Jaydee.
Mkuu sio kama nashabikia hizi team zisizo na viwanja Ila naoma kuhoji. Hivi ni wimbo gani wa mond ambao hata ukiusikia sasahivi bado haupotezi ubora( hauchuji)???Kweli apo kiba atoke maana sioni alichofanyia mziki wa bongo zaid yakupita anamopita mond
We jamaa hacha mambo yakoWasanii hawa ata ikitokea mziki ukawatupa mkono ila legacy yao itabaki milele kwenye bongo flava
1. Prof Jay
2. A.Y
3. Juma nature
4. Alikiba
5. Diamond
Wasanii hawa ata ikitokea mziki ukawatupa mkono ila legacy yao itabaki milele kwenye bongo flava
1. Prof Jay
2. A.Y
3. Juma nature
4. Alikiba
5. Diamond
Sawa. Ila kwa kazi za Afande Sele sio mond wala kiba wakumfikia.Huyo Afande Sele labda tutengeneze list ya wavuta bange.
Afu yoooo kipi kikubwa alichofanya
Kweli apo kiba atoke maana sioni alichofanyia mziki wa bongo zaid yakupita anamopita mond
Ohooo!!!Hapo kwenye mond na kiba ondoa.
Weka Afande Sele na Lady Jaydee.
Baelezee mukuru, abajui mutu ya moro afande sele! .. "kioo cha jamii"Sawa. Ila kwa kazi za Afande Sele sio mond wala kiba wakumfikia.
Nitajie wimbo mmoja tu wa hao wasanii wa sasa unaoweza kuufananisha na nyimbo za Afande.
Nyimbo zote Duniani huwa zinachuja - Hakuna wimbo ambao huwa hauchuji Dunia, ila Kila mtu ana nyimbo zake ambazo huwa zinamkumbusha kumbukumbu fulani kwenye maisha.Basi. Laiti kama Ingekuwa kuna nyimbo hazichuji, Msanii angekuwa anatunga WIMBO Mmoja tu then anaacha Muziki - Kwanini utoe Ngoma mara kwa mara " WHY " Wakati nyimbo zako hazichuji ?Mkuu sio kama nashabikia hizi team zisizo na viwanja Ila naoma kuhoji. Hivi ni wimbo gani wa mond ambao hata ukiusikia sasahivi bado haupotezi ubora( hauchuji)???