Wasanii ambao watakumbukwa hata kama muziki ukiwatupa mkono

Mmmh ngoja mzaramo aje
 
Mbona na kipindi icho nyimbo za kipuuzi zilikuwepo mfano mikasi......mm naangalia impact ya msanii kwenye game cyo mbwembwe zngne ndo maana unawaona apo prof jay na A.Y kwn hawo wameanza mziki lini?
 
Diamond alikuw ananivutia sana kwa nyimbo zake za kwanza kama Kamwambie, Nitarejea, Lala Salama, Mbagala n.k ila siku hizi hata sielewi nyimbo anazoimba.
 
Diamond alikuw ananivutia sana kwa nyimbo zake za kwanza kama Kamwambie, Nitarejea, Lala Salama, Mbagala n.k ila siku hizi hata sielewi nyimbo anazoimba.
Hawezi kuimba kama zamani ukiona MTU abadiliki au hapunguzi marafiki wa zamani basi ujue uyo MTU hakui yuko pale pale..
Kiashiria mojawapo cha kukua in kupungua kwa idadi ya marafiki wa zamani na kuongeza marafiki wapya kwa wakati husika
 
Mkuu sasaivi nyimbo hamna wanaziona nzuri kwavile hawajawai kuskiliza mi pini ya zamani long time watu walikuwa wanaumiza vichwa aiseee kuna pini moja ivii la fid q uyu na yulee ni nomaa,kuna jamaa alikuwa anaitwa zaharani,marehemu complex,maq d,mukundi ndousiseme university corner wazee wa tishet na Jens,big dog pots,wateule wakina jay moo,mchizi mox aisee watoto waskuizi hawaju tulipotoka
 
Ukiona kwako zinachuja usifikiri na kwa wengne zinachuja......diamond ana ngoma nyingi tu ambazo ata ukisikiliza Leo bado zina vibe ile ile kwa mfano, kamwambie, mbagala, mapenzi basi, kesho, ukimuona, lala salama, na zngne nyingi
Hizo ulizotaja hapo ukiiileta Nalia kwa Furaha ya bushoke, Distence ya Jaydee au Bob Rundala, Selina ile ya Alkom au nikisaidije ya pro j. Sijui utaongea nini, je kuna tungo hata moja ya kushindana na hizi hapo?
 
Wakati MTOTO WA DANDU anafanya mziki MBELE ulimskiliza? Wakati SUGU anaimba na Peter Andre, uliiskia ile ngoma? Wakati JD anaperform KORA SA, AY alikuwa wapi?
Baada ya izo mambo waliacha impact gani?
 
Hizo ulizotaja hapo ukiiileta Nalia kwa Furaha ya bushoke, Distence ya Jaydee au Bob Rundala, Selina ile ya Alkom au nikisaidije ya pro j. Sijui utaongea nini, je kuna tungo hata moja ya kushindana na hizi hapo?
Rejea kwenye swali lako maana naona unatapatapa tu stick kweny kitu ulichouliza mwanzo cyo nakujibu unaanza kuruka ruka tena
 
manfongo je,,

karahisisha kazi kwa mashemeji zetu
 
Sasa hapo alikiba amewekwa kwaajili Dimond yupo au vipi.... Mtoe muweke Dully sykes kabla haujachomwa moto na wanachi wenye hasira
 
Wakati MTOTO WA DANDU anafanya mziki MBELE ulimskiliza? Wakati SUGU anaimba na Peter Andre, uliiskia ile ngoma? Wakati JD anaperform KORA SA, AY alikuwa wapi?
Izo historia tu ambazo kila msanii anazo mm naangalia legacy ya msanii kwny game
 
Tuondoe ushabiki wakuu..... Watano wamefit but tungemuongeza jide
 
Sasa hapo alikiba amewekwa kwaajili Dimond yupo au vipi.... Mtoe muweke Dully sykes kabla haujachomwa moto na wanachi wenye hasira
Dully kwa mbaliiiiiiii sana huwezi mlinganisha na legacy ya alikiba..... Alikiba kaanza mziki 2004 uko lkn hadi leo wa moto so impact yake kwny game n kubwa huwezi linganisha na dully, uteam weka pembeni
 
Izo historia tu ambazo kila msanii anazo mm naangalia legacy ya msanii kwny game
Sio lazima uone legacy za wasanii wote. Hata Mwinyi kuna watu hawaoni legacy alioacha. Jk kuna watu wanasema hawaoni walichofanya. Lakini sisi wengine tunaziona. Baki na legacy zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…