Wasanii ambao watakumbukwa hata kama muziki ukiwatupa mkono

Wasanii ambao watakumbukwa hata kama muziki ukiwatupa mkono

Tunzo za siku izi ni magumashi tu zimejaaa ulasimu na kujuana so kwa upande wng ubora wa msanii haupinwi kwa tuzo.....ndo maana Chris brown ni msanii mkali sana lkn tuzo hapati

Chriss Brown na Tunzo zake, sijui unamzungumzia Chriss Brown yupi

Awards and nominations
Award
Wins Nominations
American Music Awards
4 13
BET Awards
14 35
BET Hip Hop Awards
3 7
Billboard Music Awards
5 15
Grammy Awards
1 15
MOBO Awards
2 5
MTV Video Music Awards
3 16
Much Music Video Awards
0 4
NAACP Image Awards
2 6
Nickelodeon Kids' Choice Awards
1 2
People's Choice Awards
2 7
Soul Train Music Awards
5 16
Teen Choice Awards
7 21
World Music Awards
1 10
Totals
Awards won 63
Nominations 200
 
Umezaliwa mwaka gani Mkuu?
Mkuu kweli hawa wengine itabidi tuwahoji kwa sababu hawaelewi hata tumetoka wapi na huu mziki. Hawajui kuwa bila hawa wasanii asingekuwepo darasa wala kiba.
 
Ukitaka kuamini kuwa sugu alikuwa analazimisha fani sikiliza nyimbo zake nyingi hazina maana...ni kujisifu na ujinga ujinga mwingi.
Mpaka leo wasanii kibao wanajisifu! Msikilize Cowbama ktk Ghetto langu, pia kamskilize OTEN, Kalapina, East Coast, Majisifu ni sehemu ya Sanaa jamaa, jaribu kuelewa. Hata PAC ashawahi kujisifu, kamskilize ktk ME AND MY GIRLFRIEND, anavoisifia BUNDUKI, kamskilize na BIG nae katika Biggie small!

Kama ulikuwa hujui, SUGU ndiye Msanii aliewaaminisha wazazi kuwa Bongo Flava na hasa hasa Hip Hop sio uhuni, wazazi wakaanza kulegeza masharti na hatimaye watoto kibao wakaingia studio! Umaarufu wa SUGU wa enzi hizo, ndio uliowatoa masela na wavuta bangi kibao kutoka VIJIWENI na kwenda kushinda STUDIO ili warecord, hivi unamjua MENTOR wa AFANDE SELE enzi hizo?
 
Tuache utani wazee kumuacha Ngwear na Fid Q kwenye list hii si sahihi.
Ngwear ndo amemotivate vijana wengi wanaochana kwa kinachoitwa 'swag'; yaani mikogo.
Ngwear ndo bado anafanyiwa reference nyingi linapokuja swala la freestyles Bongo...
Ngwear ndo alikuwa ana uwezo wa kuswitch genre mbalimbali na asiboe.
Ngwear ni G.O.A.T.
RIP cowbama
 
Sawa. Ila kwa kazi za Afande Sele sio mond wala kiba wakumfikia.
Nitajie wimbo mmoja tu wa hao wasanii wa sasa unaoweza kuufananisha na nyimbo za Afande.
Wanafanya style tofauti ya Muziki.

Hapo unamshindanisha Tupac na R.kelly au Michael Jackson na Bob Marley.

Kila mmoja kafanya lake kwa upande wake.
 
Chriss Brown na Tunzo zake, sijui unamzungumzia Chriss Brown yupi

Awards and nominations
Award
Wins Nominations
American Music Awards
4 13
BET Awards
14 35
BET Hip Hop Awards
3 7
Billboard Music Awards
5 15
Grammy Awards
1 15
MOBO Awards
2 5
MTV Video Music Awards
3 16
Much Music Video Awards
0 4
NAACP Image Awards
2 6
Nickelodeon Kids' Choice Awards
1 2
People's Choice Awards
2 7
Soul Train Music Awards
5 16
Teen Choice Awards
7 21
World Music Awards
1 10
Totals
Awards won 63
Nominations 200
Angalia uwiano kati ya nomination na wins
 
Saida Koroli Je?

Bushoke je? Mbona wanitazama, kisha waanza kulia ..

Bob Rudala je!

Q-Chief je

Sugu! Mbunge huyo!

Labda kama unaongelea wasanii wenye kuimba nyimbo za mapenzi mapenzi tu!
Angewaweka wote hao isingekuwa Top 5 tena.

Cha kufanya we endeleza list...hao uliowataja wawe kuanzia namba 6 na kuendelea.
 
Mpaka leo wasanii kibao wanajisifu! Msikilize Cowbama ktk Ghetto langu, pia kamskilize OTEN, Kalapina, East Coast, Majisifu ni sehemu ya Sanaa jamaa, jaribu kuelewa. Hata PAC ashawahi kujisifu, kamskilize ktk ME AND MY GIRLFRIEND, anavoisifia BUNDUKI, kamskilize na BIG nae katika Biggie small!

Kama ulikuwa hujui, SUGU ndiye Msanii aliewaaminisha wazazi kuwa Bongo Flava na hasa hasa Hip Hop sio uhuni, wazazi wakaanza kulegeza masharti na hatimaye watoto kibao wakaingia studio! Umaarufu wa SUGU wa enzi hizo, ndio uliowatoa masela na wavuta bangi kibao kutoka VIJIWENI na kwenda kushinda STUDIO ili warecord, hivi unamjua MENTOR wa AFANDE SELE enzi hizo?
Labda prof jay lakini sugu hamna kitu uyo
 
Dully kwa mbaliiiiiiii sana huwezi mlinganisha na legacy ya alikiba..... Alikiba kaanza mziki 2004 uko lkn hadi leo wa moto so impact yake kwny game n kubwa huwezi linganisha na dully, uteam weka pembeni
Kumbe nyimbo zake unaimbia chooni shezy taipuuuuu
 
Unakosea sana blaza, usingemsikia Mond leo bila sugu kufyt. Achana na hizo tuzo mkuu tunaangalia uwekezaji kwenye hii tasnia, huyu jamaa mh kafanya makubwa hapa Tz, ni no moja aisee. Ila nimegundua wengi hawajajua hx ya muziki wa bongoflav ndo maana unataka kumlinganisha sugu na mond otherwise ni watoto wa juzi juzi labda
Mambo ya utabiri muachie shekh Yahya kama asingekuwepo Sugu wangekuwepo wengine.

Sugu kawaida mtu ila kwa uwezo hawafikii hata robo Kwanza unit...Kwangu mimi Sugu hana tofauti na Kr au Ney wa mitego ila yeye alikuwa mbishi mbishi na mjanja mjanja kuliko wenzie wa wakati ule ila uwezo wake ulikuwa Wa kawaida mno nakwambia
Mwambie huyo jamaa. Sugu na aheshimiwe na watu wote. Hakuna Msanii wa Bongoflava atakuja kufikia idadi ya Album alizotoa Sugu.
Enzi zile kutoka album ilikuwa fashion kama ingeendelea wakina Profesa wangekuwa na Albam nyingi kuliko yeye
 
Mpaka leo wasanii kibao wanajisifu! Msikilize Cowbama ktk Ghetto langu, pia kamskilize OTEN, Kalapina, East Coast, Majisifu ni sehemu ya Sanaa jamaa, jaribu kuelewa. Hata PAC ashawahi kujisifu, kamskilize ktk ME AND MY GIRLFRIEND, anavoisifia BUNDUKI, kamskilize na BIG nae katika Biggie small!

Kama ulikuwa hujui, SUGU ndiye Msanii aliewaaminisha wazazi kuwa Bongo Flava na hasa hasa Hip Hop sio uhuni, wazazi wakaanza kulegeza masharti na hatimaye watoto kibao wakaingia studio! Umaarufu wa SUGU wa enzi hizo, ndio uliowatoa masela na wavuta bangi kibao kutoka VIJIWENI na kwenda kushinda STUDIO ili warecord, hivi unamjua MENTOR wa AFANDE SELE enzi hizo?
Unampa Sugu sifa ambazo sio zake.

alieitoa Hip Hop Gheto na kuileta mtaani alikuwa Profesa Jay rudi kasikilize Ndio Mzee kamsikilize Chemsha Bongo sikiliza Nikusaidieje.

Wimbo kidogo uliokuwa na ujumbe wa Sugu ulikuwa Chini ya 18 na haukuwa bora kama Zali la Mentali
 
Mambo ya utabiri muachie shekh Yahya kama asingekuwepo Sugu wangekuwepo wengine.

Sugu kawaida mtu ila kwa uwezo hawafikii hata robo Kwanza unit...Kwangu mimi Sugu hana tofauti na Kr au Ney wa mitego ila yeye alikuwa mbishi mbishi na mjanja mjanja kuliko wenzie wa wakati ule ila uwezo wake ulikuwa Wa kawaida mno nakwambia
Enzi zile kutoka album ilikuwa fashion kama ingeendelea wakina Profesa wangekuwa na Albam nyingi kuliko yeye
Nadhani mada original ni kuwakumbuka kwa kile kilichofanyika kwa bongoflav, huyu nond uwezo na kipaji cha kutumbuiza anacho lkn mchango mkubwa upo kwa hao waliowatengenezea njia. Narudia kusema, unless hujui bongoflav ilipotoka huwezi kuongea mafanikio ya mond bila sugu. Ni sawa na kusifia kilele cha ghorofa bila kujua foundation yake
 
Toa 5 weka Mr.Nice
Mkuu wewe unajua muziki watu naona wanacomment wasanii wanaowapenda tu but mr.nice alikua level za mbali angekua kipindi hiki ambacho msanii anakuzwa na social media na networks aisee angejenga nyumba ya kuweka tuzo
 
Back
Top Bottom