Wasanii ambao watakumbukwa hata kama muziki ukiwatupa mkono

Point kubwa sana mkuu hapa kuna watu wanabishia feelings zao juu ya wasanii na majib yao yanakua biased
 
Mkuu wewe unajua muziki watu naona wanacomment wasanii wanaowapenda tu but mr.nice alikua level za mbali angekua kipindi hiki ambacho msanii anakuzwa na social media na networks aisee angejenga nyumba ya kuweka tuzo
Kwa nyimbo zipi.....nikwambie kitu Mr nice angetoka asa iv asingetoboa nakuhakikishia kwa nyimbo zile za watoto hahahaaa
 
Ni haki yako kikatiba kutoa maoni....
 
Ukiona kwako zinachuja usifikiri na kwa wengne zinachuja......diamond ana ngoma nyingi tu ambazo ata ukisikiliza Leo bado zina vibe ile ile kwa mfano, kamwambie, mbagala, mapenzi basi, kesho, ukimuona, lala salama, na zngne nyingi
Ally Kiba sikiliza ngoma zake za mwanzo kabisa Cinderela ndio wimbo ambao mpaka sasa umeweka rekodi ya kuuza copy nyingi katika Afrika Mashariki mwaka 2008; Mwaka 2012 Alikiba alishinda tuzo ya best Rhumba/ Zouk na wimbo wake wa “Dushelele” katika tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards.
Mwaka 2016 amepata tuzo 17 -
EATV Awards
1: Artist of The Year
2: Song Of The Year
3: Video of The Year (AJE)
4: MTV EMA Best African Act
5: SoundCity Video Of The Year
6: Watsup TV - Best East African Video (AJE)
7: Best R & B Song (AJE)

NAFCA
8: Artist of The Year
9: Song of The Year (AJE)

BEFFTA UK
10: Best International African Act
11: Best Music Video (AJE)

ASFA
12: Most Fashionable Music Video (AJE)
13: East African Most Stylish
14: Wana Music Awards France - Prix du Public (Chaguo la Watu)
15: Instagram Party TZ - Top Trending Song (AJE)

Ali Saleh Kiba (king kiba) (born 1986), better known by his stage name Ali Kiba, is a Tanzanian recording artist, singer-songwriter under his label Rockstar4000 and on the 20 May 2016, Sony Music Entertainment announced signing Ali Kiba. In 2011, Alikiba was voted as "the most popular artist top Selling in East Africa" - Tanzania, Kenya and Uganda.

He is best known for his hit songs "Aje" "Mwana", "Chekecha tua" "Cinderella", "Nakshi Nakshi", "Usiniseme," "Dushelele", "Single Boy", "Mapenzi YanaRun Dunia", "Macmuga" and for his collaboration with R. Kelly and other African musicians in One8 project. Following his return after been quiet for 3 years, he released the single "Mwana and Chekecha", and went on to win six awards at the 2015 Tanzania Music Awards and breaking the record on Mkito.com as the most downloaded songs of the year 2015.
Born Ali Saleh Kiba
(1986-06-16) 16 June 1986 (age 30)
Tanzania

Associated acts

Contents
[1 Awards

Awards
Year Nominee/work Award Result
2012 Dushelele Best Zouk /Rhumba Song Won
Nai Nai with Ommy Dimpoz Best Collaboration Won
2014 Kidela with Abdu Kiba Best Collaboration Nominated
2015 Himself Best Male Artist Won
Best Male Perfomer Won
Song Writer of the year Won
Mwana Song Of The Year Won
Video of the year Nominated
Afro Pop Song Of the year Won
Kiboko Yangu With Mwana FA Best Collaboration Won
]
Year Nominee/work Award Result
2016 Aje Best African Rnb Video Won
Best East African Video Won
BEFFTA Awards 2016
Year Nominee/work Award Result
2016 Aje Best African Act Won
Video Of The Year Won
MTV Europe Music Awards
Year Nominee/work Award Result
2016 Himself Best International Act: Africa Won
Nafca
Year Nominee/work Award Result
2016 Himself Favorite Artist Won
Mwana Favorite Song Won
East Africa TV Awards
Year Nominee/work Award Result
2016 Aje Best Male Artist Won
Song of The Year Won
Video Of The Year Won

ASFA Awards (Uganda)

Year Nominee/work Award Result
2016 Aje Most Stylish Artiste East Africa Won
Aje Most Fashionable Music Video Africa Won
Soudcity Awards
Year Nominee/work Award Result
2016 Aje Video Of The Year Won
TZ_INSTA_Awards 2016
Year Nominee/work Award Result
2016 Aje Top Trending Song Won
Best Celebrity Player Awards (Uganda)
Year Nominee/work Award Result
2016 Himself Best Celebrity Player Won
WANNAMusic Awards 2016 (FRANCE)
Year Nominee/work Award Result
2016 Aje Best Male Artist Nominated
Best Collabo Nominated
People Choice Won
 
Kwa nyimbo zipi.....nikwambie kitu Mr nice angetoka asa iv asingetoboa nakuhakikishia kwa nyimbo zile za watoto hahahaaa
Kila kitu kinawakat wake...bahati mbaya sana industry ya mziki haideal sana na utunzi ikiwa msanii kazi zake zinapokelewa sana na mashabiki..ndoman hata mr.nice ukiskiza nyimbo sahv unona utoto but zaman ilikua favorite yako na maelfu ya watanzania.
 
Ndo nn icho ulichoandika au umekula viroba
 
Kila kitu kinawakat wake...bahati mbaya sana industry ya mziki haideal sana na utunzi ikiwa msanii kazi zake zinapokelewa sana na mashabiki..ndoman hata mr.nice ukiskiza nyimbo sahv unona utoto but zaman ilikua favorite yako na maelfu ya watanzania.
Hamna kitu uyo ilikuwa kama upepo tu ulimvumia but he was nothing at all, pure empty shell.
 
Mkuu sio kama nashabikia hizi team zisizo na viwanja Ila naoma kuhoji. Hivi ni wimbo gani wa mond ambao hata ukiusikia sasahivi bado haupotezi ubora( hauchuji)???
Atakumbukwa kwa kufanya mziki wetu ufike mbali zaidi na kuwafungua wasanii wengine kuwa kumbe kitu flani kinawezekana.
Ndiyo maana wasanii wakongwe wanaojielewa wanakubariana na hili.
Christian Bella pamoja na kuwa kaimba na alikiba ila anakubari kuwa diamond ka push huu mziki na kuwafungua wengi...thou mziki anaofanya unaweza kuwa siyo wa kuishi ila kafanya ka revolution flani katika music industry in terms of music business.
 
Sasa utaelewaje na umebugua viroba na kudhani wote ni wanywaji kama wewe. Ishiiii!! Unatia aibu
Ndo maana necta kila mwaka wanalalamika ufauru unashuka ndo mambo kama haya jitu linakurupuka tu kama limekunywa maji ya chooni kujibu bila kuelewa.
 
Ww umeeleweka sana asipokuelewa basi kichwa box
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…