hahahahahhPack za kondomu.
Hataki kuongeza watoto
Usikurupuke, soma post vizuri. Hapo prof J sijamtaja hapo. Zingatia mfano wa foundation ya ghorofa na kilelele cha chakeWewe unaejua Bongo flava unataka kusema Msingi ulijengwa na Sugu peke yake na hakukuwa na Wengine?!
Tuelewane hapa tafadhali Sugu alikuwa na mchango wake na naupa heshima pia ila sio kiasi cha kumfanya kama nabii wakati kuna watu kibao walifanya makubwa kuliko yeye.
Kwangu Profesa Jay anastahili heshima nyingi kuliko Sugu yeye kuanza haimaanishi wote waliokuja baada yake hawana uwezo kuliko yeye.
Umeongea pumba dahNyimbo zote Duniani huwa zinachuja - Hakuna wimbo ambao huwa hauchuji Dunia, ila Kila mtu ana nyimbo zake ambazo huwa zinamkumbusha kumbukumbu fulani kwenye maisha.Basi. Laiti kama Ingekuwa kuna nyimbo hazichuji, Msanii angekuwa anatunga WIMBO Mmoja tu then anaacha Muziki - Kwanini utoe Ngoma mara kwa mara " WHY " Wakati nyimbo zako hazichuji ?
Note. Ukiona mtu anatumia vijineno kama Ujumbe, Sauti, Mzuri Mzuri, KUdumu kwa wimbo, Live band - Ujue ni mpuuze GRADE A, MPUUZE
sasa hapo atoke nani waingie hao wavuta bange X Plastaz?!SUGU NA XPLASTAZ
Bob Rudala, Bushoke na Q Chief ni waimbaji wazuri sana lakini hawajaifanyia muziki wa Tanzania jambo la mnoSaida Koroli Je?
Bushoke je? Mbona wanitazama, kisha waanza kulia ..
Bob Rudala je!
Q-Chief je
Sugu! Mbunge huyo!
Labda kama unaongelea wasanii wenye kuimba nyimbo za mapenzi mapenzi tu!
Hio picha mkuu!.sina mbavu uku.Na ndio maana mama alikataa nisiwe mwanamuziki,sasa nimejua.Teh teh teh!.Mwenye ukaribu na afande amwambie namsalimia.Back to the point nadhani list ya mleta thread ni nzuri kwani wasanii wote hao alotaja wameutangaza muziki wa tanzania vyema.Ohooo!!!
U deserve my like...kuna nyimbo na sio nyimbo tu, hata movie kuna ambazo ni classic, na nyingine zinakuja kwa kiki kubwa ila baada ya muda zinapoteza ladha hadi unaona aibu kusikiza..kuna zile nyimbo za Mr. Nice zilivyobamba leo hii utamsikia akisikiliza? ila kuna nyimbo za akina dully sykes, ray c, lady jaydee akisililiza mtu haonekani mshamba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huo mfano tu kuwa kama unazungumzia Foundation Sugu agusi hata robo ya Profesa Jay.Usikurupuke, soma post vizuri. Hapo prof J sijamtaja hapo. Zingatia mfano wa foundation ya ghorofa na kilelele cha chake
Wamemsahau dully Sykes mna dhambi nyieU deserve my like
Ila dully kapambana sana lkn kwa hao majamaa kwenye list hafui dafu kakaWamemsahau dully Sykes mna dhambi nyie