Wasanii ambao watakumbukwa hata kama muziki ukiwatupa mkono

Wasanii ambao watakumbukwa hata kama muziki ukiwatupa mkono

Wewe unaejua Bongo flava unataka kusema Msingi ulijengwa na Sugu peke yake na hakukuwa na Wengine?!

Tuelewane hapa tafadhali Sugu alikuwa na mchango wake na naupa heshima pia ila sio kiasi cha kumfanya kama nabii wakati kuna watu kibao walifanya makubwa kuliko yeye.

Kwangu Profesa Jay anastahili heshima nyingi kuliko Sugu yeye kuanza haimaanishi wote waliokuja baada yake hawana uwezo kuliko yeye.
Usikurupuke, soma post vizuri. Hapo prof J sijamtaja hapo. Zingatia mfano wa foundation ya ghorofa na kilelele cha chake
 
Nyimbo zote Duniani huwa zinachuja - Hakuna wimbo ambao huwa hauchuji Dunia, ila Kila mtu ana nyimbo zake ambazo huwa zinamkumbusha kumbukumbu fulani kwenye maisha.Basi. Laiti kama Ingekuwa kuna nyimbo hazichuji, Msanii angekuwa anatunga WIMBO Mmoja tu then anaacha Muziki - Kwanini utoe Ngoma mara kwa mara " WHY " Wakati nyimbo zako hazichuji ?

Note. Ukiona mtu anatumia vijineno kama Ujumbe, Sauti, Mzuri Mzuri, KUdumu kwa wimbo, Live band - Ujue ni mpuuze GRADE A, MPUUZE
Umeongea pumba dah
 
Saida Koroli Je?

Bushoke je? Mbona wanitazama, kisha waanza kulia ..

Bob Rudala je!

Q-Chief je

Sugu! Mbunge huyo!

Labda kama unaongelea wasanii wenye kuimba nyimbo za mapenzi mapenzi tu!
Bob Rudala, Bushoke na Q Chief ni waimbaji wazuri sana lakini hawajaifanyia muziki wa Tanzania jambo la mno
 
1.professor J
2.sir kassim J Nature
3.Lady J dee
4.R.I.P GWear Albert
5.kibba Ally- kizazi kipya
_end_
 
Ohooo!!!
898371f0a44796a942429abc51083c30.jpg
Hio picha mkuu!.sina mbavu uku.Na ndio maana mama alikataa nisiwe mwanamuziki,sasa nimejua.Teh teh teh!.Mwenye ukaribu na afande amwambie namsalimia.Back to the point nadhani list ya mleta thread ni nzuri kwani wasanii wote hao alotaja wameutangaza muziki wa tanzania vyema.
 
...kuna nyimbo na sio nyimbo tu, hata movie kuna ambazo ni classic, na nyingine zinakuja kwa kiki kubwa ila baada ya muda zinapoteza ladha hadi unaona aibu kusikiza..kuna zile nyimbo za Mr. Nice zilivyobamba leo hii utamsikia akisikiliza? ila kuna nyimbo za akina dully sykes, ray c, lady jaydee akisililiza mtu haonekani mshamba
U deserve my like
 
Hapo kwa diamond na A.Y apo kuna mushkeli ila kiroboto ni milele amina[emoji106]
 
Usikurupuke, soma post vizuri. Hapo prof J sijamtaja hapo. Zingatia mfano wa foundation ya ghorofa na kilelele cha chake
Huo mfano tu kuwa kama unazungumzia Foundation Sugu agusi hata robo ya Profesa Jay.

Labda useme unamtoa nani kwenye hiyo list na kumuweka Sugu? !
 
Back
Top Bottom