emmanuel mruma
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,778
- 1,718
Haha kwa mond ata mtoto mdgo atakuchapa maan anajua mchango wake mkbwaHapo kwenye mond na kiba ondoa.
Weka Afande Sele na Lady Jaydee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha kwa mond ata mtoto mdgo atakuchapa maan anajua mchango wake mkbwaHapo kwenye mond na kiba ondoa.
Weka Afande Sele na Lady Jaydee.
Ukiona kwako zinachuja usifikiri na kwa wengne zinachuja......diamond ana ngoma nyingi tu ambazo ata ukisikiliza Leo bado zina vibe ile ile kwa mfano, kamwambie, mbagala, mapenzi basi, kesho, ukimuona, lala salama, na zngne nyingiMkuu sio kama nashabikia hizi team zisizo na viwanja Ila naoma kuhoji. Hivi ni wimbo gani wa mond ambao hata ukiusikia sasahivi bado haupotezi ubora( hauchuji)???
Maada inazungumzia wasanii waimbaji cyo ma producersme nadhani ni vyema akawepo na P.FUNK MAJANI aka Kinywele... kwa namna alivyowawezesha watajwa hapo juu...
Diamond ndo msanii wa kwanza kutoka Africa sio Tanzania pekee tu kushinda tuzo 2 kwa wakati moja za MTV Ema , African act and world wide actMkuu sio kama nashabikia hizi team zisizo na viwanja Ila naoma kuhoji. Hivi ni wimbo gani wa mond ambao hata ukiusikia sasahivi bado haupotezi ubora( hauchuji)???
6.budagallaWasanii hawa ata ikitokea mziki ukawatupa mkono ila legacy yao itabaki milele kwenye bongo flava
1. Prof Jay
2. A.Y
3. Juma nature
4. Alikiba
5. Diamond
7 mchelemchele na mang'weng'we6.budagalla
Sugu hajafanya cha maana kwenye bongo flava, kwanza alikuwa analazimisha fani tuSugu kafanya makubwa sana katika mziki wa bongo fleva akifatiwa na sosibi kama kuna anayemkumbuka then profesa j wengine ndowafate,mziki ulikuwa unaonekana wakihuni kama singeli vile lakini kwa tungo zao mziki wa bongofleva ulisimama
Ndo msanii wa kwanza bongo kuvuka boda na kuupeleka mziki wa bongo flava next levelAY kafikaje hapo?
Nikitoa list ya wasanii wala ngano young d nitamuweka usijaliapo kwa diamond toa weka young dar.salaam
Ohooo!!!![]()
Amefanya kipi cha maanaUsifanye mchezo na Mrs Mengi...![]()
Mchango wao ni mdogo sana kulinganisha na niliowataja apo juukomondo jide, FA, unawaachaje.
Mkuu hilo hawataki kuliona wanachoangalia kwa sasa ni hawa tu waliopo. Lakini ikumbukwe hata hayo mafaniko ya kina mond kwa sasa yasinge kuwepo bila hawa wakongwe. Hebu jiulize hizi nyimbo za ovyo ovyo zinazopigwa sasa kama zingekuwa ndo zinaimbwa kipindi kile bongo fleva ikipingwa kuwa ni uhuni je unadhani ingekuwaje?.Sugu kafanya makubwa sana katika mziki wa bongo fleva akifatiwa na sosibi kama kuna anayemkumbuka then profesa j wengine ndowafate,mziki ulikuwa unaonekana wakihuni kama singeli vile lakini kwa tungo zao mziki wa bongofleva ulisimama