Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Uchawa wa wasanii wetu umezidi sana! Samia saluti zako umejuwa kutenga anga lako kwenye kila sekta
===========
Soma Pia:
===========
Wasanii maarufu wa Tanzania, Ay, Made na Chege, wamesema Kundi lao la Watu wa tatu limeridhia na kulipokea jina la SAMIA KINGS walilopewa baada ya kushiriki pamoja katika shughuli za Chama cha Mapinduzi (CCM) Jijini Dodoma siku chache zilizopita.Soma Pia:
- Wasanii kujiingiza kwenye siasa na kuwa machawa ipi faida yao kama nao wanashiriki kuingiza wananchi shimoni?
- Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025