Uchawa wa wasanii wetu umezidi sana! Samia saluti zako umejuwa kutenga anga lako kwenye kila sekta
===========
Wasanii maarufu wa Tanzania, Ay, Made na Chege, wamesema Kundi lao la Watu wa tatu limeridhia na kulipokea jina la SAMIA KINGS walilopewa baada ya kushiriki pamoja katika shughuli za Chama cha Mapinduzi (CCM) Jijini Dodoma siku chache zilizopita.
Watatu hao wamesema kila Mtu ana uhuru wa kuchagua kwenye maisha au kwenye harakati zake hivyo wao wamechagua kuonesha mahaba yao kwa Chama cha Mapinduzi na kuandika nyimbo kadhaa za kusifia mazuri yanayofanywa na CCM

Ameandika kwenye ukurasa wake wa X. "Mimi nikiona mtu analaumu wasanii kwenda kwenye events za CC EM kufanya show huwa namshangaa sana!! Wasanii ni wafanya biashara, wame invest kwenye hiyo biashara ya muziki na wanahitaji return….Kama ambavyo wewe umewekeza kwenye biashara yako, huwezi...
Uchawa wa wasanii wetu umezidi sana! Samia saluti zako umejuwa kutenga anga lako kwenye kila sekta
===========
Wasanii maarufu wa Tanzania, Ay, Made na Chege, wamesema Kundi lao la Watu wa tatu limeridhia na kulipokea jina la SAMIA KINGS walilopewa baada ya kushiriki pamoja katika shughuli za Chama cha Mapinduzi (CCM) Jijini Dodoma siku chache zilizopita.
Watatu hao wamesema kila Mtu ana uhuru wa kuchagua kwenye maisha au kwenye harakati zake hivyo wao wamechagua kuonesha mahaba yao kwa Chama cha Mapinduzi na kuandika nyimbo kadhaa za kusifia mazuri yanayofanywa na CCM
Kweli penye udhia penyeza rupia. Hadi AY? Kweli uchawa utakuwa ni janga la taifa baada ya miaka 10 kila mtu atakuwa chawa hivyo mwenye machawa atakuwa hana haja ya kuwalipa machawa na hapo machawa ndiipo wataona hasara ya uchawa.