wasanii bongo fleva na 'kusafirisha madawa nje.........

wasanii bongo fleva na 'kusafirisha madawa nje.........

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
Kuna mtu ambae ni insider wa industry ya muziki na filam
Tanzania ameniambia kitu ambacho i hope sio kweli.....
i hope ni majungu tu ya kila siku......
amenitajia majina kama ya wasanii sita hivi kwenye muziki na filam....
na sanaa ya kibongo na kwa mujibu wa maelezo yake yeye...

wasanii hawa wanatumika kusafirisha 'madawa ya kulevya' kutoka au kuja nchini....
na kitu kimoja alichozungumza ni kuwa kwa nini wakianza kusafiri
wanakuwa na pesa sana ambazo hazilingani na malipo wanayolipwa huko wanapokwenda????

kama nilivyosema i hope sio kweli,kwani katika hayo majina kuna
ambao 'tunawapenda mno' kwa kweli......na mtu yeyote anaejua nchi za asia zilivyo
kwenye 'mfumo wa kisheria na adhabu zao za 'kunyonga mtu' hata kama
amebambikiwa tu hayo madawa.nahofia sana kwa kweli....

siku moja 'tutasikia msanii fulani' ananyongwa CHINA au THAILAND AU MALAYSIA
kwa kukutwa na madawa 'tutabaki mdomo wazi...'

iliwahi kumtokea MISS SOUTH AFRICA HUKO THAILAND
 
Nakubaliana na wewe The Boss 100% tutakuja kusikia manake kila mtu ananjaa ya pesa lakini wengine wanaikatia kibali, wanataka wawe matajiri haraka sijui,sidhani kama wana kaa wakafikiri sikuwakikamatwa itakuwaje?
 
Mkuu weka majina yao tuwajadili

siwezi weka majina yao sina shahidi wala sijaamini moja kwa moja
itakuwa nawachafua....nawapa 'benefits of the doubt...'

i hope sio kweli.....
 
Back
Top Bottom