Wasanii: Diamond,Rayvanny,Vanessa na Darasa wamechaguliwa nominations tuzo za Uganda.

Wasanii: Diamond,Rayvanny,Vanessa na Darasa wamechaguliwa nominations tuzo za Uganda.

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2016
Posts
1,193
Reaction score
828
Tuzo za Uganda Entertainment Awards 2017.
Wamechagua wasanii wakitanzania Karina nominees zifuatazo.
Diamond platnumz na Darasa wamepachikwa kama East African Act [HASHTAG]#UEA2017[/HASHTAG].
d2de94df76d11837ece951519a6d84ef.jpg

Rayvanny na Vanessa Mdee wamechukuliwa kama
African Act of the year#UEA2017.
0807ae13697f046d72afa2b4517906fb.jpg

So Wcb-wasafi wametisha Kwa nominees nyingi na upigwaji Kura utanza muda si mwingi.
Welcome!!
 
Back
Top Bottom