Wasanii gani ambao wametoka kimuziki kwa kiki

lukelo sakafu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2015
Posts
2,938
Reaction score
517
hivi ni wanamziki gani ambao mpaka sasa wametoka na kujulikana kimuziki ndani na nje ya nchi kwa kutegemea zaidi kiki za kubadili wanawake/mademu kama nguo,kuna wengine mpaka sasa wanatoka na wanawake wanaowazidi umri na wanawatoto kibao,hili mradi tu wajulikane,kama unawatambua hawa wasanii tiririka hapa chini
 
Khaaaa! Na huku ushafika? Naona unamuandama sana huyu ndugu yangu na sitokubali mumkatishe tamaa.

Hahaaa unataka aendelee na wembe huu huu sio. Mwambie basi achangie Jf maana naona anatumia effectively.
 
Hahahaa muache aendelee hivyo hivyo bwana.Jamaa yuko vizuri upstairs hujui tu.Haya mambo anafanya for funny tu.
 
Poa poa basi ila mwambie maswali mengine awe anajiongeza kwa anko google..
 
Khaaaa! Na huku ushafika? Naona unamuandama sana huyu ndugu yangu na sitokubali mumkatishe tamaa.

Mara ya kwanza kuona post za Lukelo Floor nilikuwa nammandi sana! ila sa hvi namkubali sana kila kona yupo niliona comment yake kwenye jukwaa la siasa nikacheka maana jamaa alianzisha thread ndani ya uzi wa mtu sijui alikuwa amejisahau!
 
Ha ha ha hiyo sikuiona kwanini usiniite na wewe?
 
Mara ya kwanza kuona post za Lukelo Floor nilikuwa nammandi sana! ila sa hvi namkubali sana kila kona yupo niliona comment yake kwenye jukwaa la siasa nikacheka maana jamaa alianzisha thread ndani ya uzi wa mtu sijui alikuwa amejisahau!

Mimi huwa nikiona jina lake ni kucheka tuu na kumuita Mwl wake Evelyn Salt! Leo asubuhi ndio alinichekesha zaidi pale alipo anzisha uzi akisema mende ameonekana kwenye screen baada ya mende kuingia kwenye deki! daaa huyu jamaa ni zaidi ya futuhi....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom