Wasanii gani ambao wametoka kimuziki kwa kiki

Wasanii gani ambao wametoka kimuziki kwa kiki

Mimi huwa nikiona jina lake ni kucheka tuu na kumuita Mwl wake Evelyn Salt! Leo asubuhi ndio alinichekesha zaidi pale alipo anzisha uzi akisema mende ameonekana kwenye screen baada ya mende kuingia kwenye deki! daaa huyu jamaa ni zaidi ya futuhi....
ha ha ha hiyo story imenichekesha sana leo yan kila nkikumbuka nacheka tu
 
Last edited by a moderator:
hivi ni wanamziki gani ambao mpaka sasa wametoka na kujulikana kimuziki ndani na nje ya nchi kwa kutegemea zaidi kiki za kubadili wanawake/mademu kama nguo,kuna wengine mpaka sasa wanatoka na wanawake wanaowazidi umri na wanawatoto kibao,hili mradi tu wajulikane,kama unawatambua hawa wasanii tiririka hapa chini

Umelenga nn haswa? Au unataka upate role model nawe ni underground bado? Imba imba tu watakuona.
 
Back
Top Bottom