Wasanii Harmonize na alikiba waungana kuishusha WCB

Samahani mkuu!!!!!..mimi sijui hayo mambk ya Mond wala Alikiba na sio shabiki wao na nilikuwa sitaki kucomment kwa post hii lakini imenibidi baada ya kuona ulichoandika kuhusu Mj nicomment ni hivi Michael Jackson hajawahi kuchuja(kuanguka) mpaka siku umauti unampata alikuwa na mauzo ya juu hadi anafariki 2009 kwanza kabla hajafariki siku mbili kabla alikuwa na Concert iliyojaza maelfu ya watu Mjini Los Angeles, CA na alikuwa na concert nyingine ambayo tiketi zilikuwa sold out ilipangwa kufanyika siku ambayo alifariki June 25 2009..Hakuna siku ambayo amewahi kuanguka tangu alipoanza kuimba mwaka 1968 akiwa na miaka 12 na kundi lake la Jackson 5 na alipendwa tangu utoto wake na alipokuwa solo artist kuanzia miaka ya 80 umaarufu ukazidi mara nne na hakuwahi kushuka hata siku moja mpaka sasa wimbo wake wa thriller haujawahi kuwa out moja kwa moja katika chart za billboards tangu miaka hiyo ya 80 unaingia na kutoka na mpaka sasa upo nafasi hiyo

View attachment 2047464
Mkuu inaonekana hiyo miziki iliyopo humo ni mabonge ya ngoma eeh niambie ili niitafute tu
 
Kichwa chako unabeba Kama mzigo..alianguka Michael Jackson itakuwa Mondi..kila chenye mwanzo kina mwisho..
huyo unaemsemea alikufa hajaanguka kamaunanyo fikiri kiaziwee labda uendenabibi yako mukamuue ndo haoviazi wenzako watatamba
 
Kichwa chako unabeba Kama mzigo..alianguka Michael Jackson itakuwa Mondi..kila chenye mwanzo kina mwisho..
We kenge MJ alinguka kivipi mkuu, mtu ambae hadi anadedi anaweza kujaza popote pale duniani tena kwa dau kubwa halafu useme kashuka?
 
Samahani mkuu!!!!!..mimi sijui hayo mambk ya Mond wala Alikiba na sio shabiki wao na nilikuwa sitaki kucomment kwa post hii lakini imenibidi baada ya kuona ulichoandika kuhusu Mj nicomment ni hivi Michael Jackson hajawahi kuchuja(kuanguka) mpaka siku umauti unampata alikuwa na mauzo ya juu hadi anafariki 2009 kwanza kabla hajafariki siku mbili kabla alikuwa na Concert iliyojaza maelfu ya watu Mjini Los Angeles, CA na alikuwa na concert nyingine ambayo tiketi zilikuwa sold out ilipangwa kufanyika siku ambayo alifariki June 25 2009..Hakuna siku ambayo amewahi kuanguka tangu alipoanza kuimba mwaka 1968 akiwa na miaka 12 na kundi lake la Jackson 5 na alipendwa tangu utoto wake na alipokuwa solo artist kuanzia miaka ya 80 umaarufu ukazidi mara nne na hakuwahi kushuka hata siku moja mpaka sasa wimbo wake wa thriller haujawahi kuwa out moja kwa moja katika chart za billboards tangu miaka hiyo ya 80 unaingia na kutoka na mpaka sasa upo nafasi hiyo

View attachment 2047464
Umeamua kumuua kabisa , ndugu zake waje kuokota mzoga.
 
Umaskini mbaya sana, mtu unawaza kumalizana tu
Wapo wengine wakipita na magari kwenye shamba lililostawi vizuri analitolea macho mpaka linakauka [emoji23][emoji23]
 
Umeamua kumuua kabisa , ndugu zake waje kuokota mzoga.
Vijana wanamchukulia poa MJ hawa!!!...MJ ni Genius wa muziki kama ilivyo kwa Newton,Albert Einsten kwa Science au William Shakespeare katika masuala ya Literature..
 
Back
Top Bottom