Samahani mkuu!!!!!..mimi sijui hayo mambk ya Mond wala Alikiba na sio shabiki wao na nilikuwa sitaki kucomment kwa post hii lakini imenibidi baada ya kuona ulichoandika kuhusu Mj nicomment ni hivi Michael Jackson hajawahi kuchuja(kuanguka) mpaka siku umauti unampata alikuwa na mauzo ya juu hadi anafariki 2009 kwanza kabla hajafariki siku mbili kabla alikuwa na Concert iliyojaza maelfu ya watu Mjini Los Angeles, CA na alikuwa na concert nyingine ambayo tiketi zilikuwa sold out ilipangwa kufanyika siku ambayo alifariki June 25 2009..Hakuna siku ambayo amewahi kuanguka tangu alipoanza kuimba mwaka 1968 akiwa na miaka 12 na kundi lake la Jackson 5 na alipendwa tangu utoto wake na alipokuwa solo artist kuanzia miaka ya 80 umaarufu ukazidi mara nne na hakuwahi kushuka hata siku moja mpaka sasa wimbo wake wa thriller haujawahi kuwa out moja kwa moja katika chart za billboards tangu miaka hiyo ya 80 unaingia na kutoka na mpaka sasa upo nafasi hiyo
View attachment 2047464