Tumefanya show lakini malipo hamna, kila siku tunaambiwa msubiri kesho kesho.
Kuweka mgomo tunaogopa kwasababu ya fitna ya hii radio, ila ukweli tunaumia sana. Tulijadili hili swala kwenye kikao Kahama lakini mpaka leo mambo bado magumu.
Clouds mtatuua kwa njaa wasanii, punguzeni hata kidogo deni letu.