Wasanii hatujalipwa Fiesta

Wasanii hatujalipwa Fiesta

Wakuu,

Tumefanya show lakini malipo hamna, kila siku tunaambiwa msubiri kesho kesho.

Kuweka mgomo tunaogopa kwasababu ya fitna ya hii radio, ila ukweli tunaumia sana. Tulijadili hili swala kwenye kikao Kahama lakini mpaka leo mambo bado magumu.

Clouds mtatuua kwa njaa wasanii, punguzeni hata kidogo deni letu.
Mlifanya show wapi na mlikuwa na nani na wewe ni nani?
 
Mleta mada acha dharau na kudhalilisja media na taaluna za watu.At the end of the day watu wataona Jf inejazwa na majuha kumbe juha mmoja anadhalilisha wengine.

Una uhakika hujalipwa?

Mods mada kana hizi za wanaojiiya wanaume muwe mbadelete
 
Nna uhakika sijalipwa? Hilo swali ulilouliza sidhani kama ulipata hata D moja form four
 
Wakuu,

Tumefanya show lakini malipo hamna, kila siku tunaambiwa msubiri kesho kesho.

Kuweka mgomo tunaogopa kwasababu ya fitna ya hii radio, ila ukweli tunaumia sana. Tulijadili hili swala kwenye kikao Kahama lakini mpaka leo mambo bado magumu.

Clouds mtatuua kwa njaa wasanii, punguzeni hata kidogo deni letu.

Sio afande sele wewe kweli [emoji846]
 
Wakuu,

Tumefanya show lakini malipo hamna, kila siku tunaambiwa msubiri kesho kesho.

Kuweka mgomo tunaogopa kwasababu ya fitna ya hii radio, ila ukweli tunaumia sana. Tulijadili hili swala kwenye kikao Kahama lakini mpaka leo mambo bado magumu.

Clouds mtatuua kwa njaa wasanii, punguzeni hata kidogo deni letu.
We ndo nani sasa? Utalipwaje wakati unajificha nyuma ya keyboard?
 
Mleta mada acha dharau na kudhalilisja media na taaluna za watu.At the end of the day watu wataona Jf inejazwa na majuha kumbe juha mmoja anadhalilisha wengine.

Una uhakika hujalipwa?

Mods mada kana hizi za wanaojiiya wanaume muwe mbadelete
Mkuu kama una ukweli wowote wa kupinga alicholeta huyu ndugu yenu weka hapa itasaidia zaidi
 
Wakat mnaingia nao mkataba jf ilihusika?

Achen polojo siziko kuwa na maana....!!!
Mahala sahihi Mahakaman sio jf. Usikute uliye leta habar hii na yeye anaiita mwanaume shenziiiii kabisa
Mkuu Wanaume wa kweli tunapungua kwa kasi kweli!
 
Barnabas wewe

Back
Top Bottom