The Dark Father
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 1,144
- 1,408
Old school propaganda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlifanya show wapi na mlikuwa na nani na wewe ni nani?Wakuu,
Tumefanya show lakini malipo hamna, kila siku tunaambiwa msubiri kesho kesho.
Kuweka mgomo tunaogopa kwasababu ya fitna ya hii radio, ila ukweli tunaumia sana. Tulijadili hili swala kwenye kikao Kahama lakini mpaka leo mambo bado magumu.
Clouds mtatuua kwa njaa wasanii, punguzeni hata kidogo deni letu.
Nna uhakika sijalipwa? Hilo swali ulilouliza sidhani kama ulipata hata D moja form fourMleta mada acha dharau na kudhalilisja media na taaluna za watu.At the end of the day watu wataona Jf inejazwa na majuha kumbe juha mmoja anadhalilisha wengine.
Una uhakika hujalipwa?
Mods mada kana hizi za wanaojiiya wanaume muwe mbadelete
Wakuu,
Tumefanya show lakini malipo hamna, kila siku tunaambiwa msubiri kesho kesho.
Kuweka mgomo tunaogopa kwasababu ya fitna ya hii radio, ila ukweli tunaumia sana. Tulijadili hili swala kwenye kikao Kahama lakini mpaka leo mambo bado magumu.
Clouds mtatuua kwa njaa wasanii, punguzeni hata kidogo deni letu.
We ndo nani sasa? Utalipwaje wakati unajificha nyuma ya keyboard?Wakuu,
Tumefanya show lakini malipo hamna, kila siku tunaambiwa msubiri kesho kesho.
Kuweka mgomo tunaogopa kwasababu ya fitna ya hii radio, ila ukweli tunaumia sana. Tulijadili hili swala kwenye kikao Kahama lakini mpaka leo mambo bado magumu.
Clouds mtatuua kwa njaa wasanii, punguzeni hata kidogo deni letu.
Mkuu kama una ukweli wowote wa kupinga alicholeta huyu ndugu yenu weka hapa itasaidia zaidiMleta mada acha dharau na kudhalilisja media na taaluna za watu.At the end of the day watu wataona Jf inejazwa na majuha kumbe juha mmoja anadhalilisha wengine.
Una uhakika hujalipwa?
Mods mada kana hizi za wanaojiiya wanaume muwe mbadelete
Mkuu Wanaume wa kweli tunapungua kwa kasi kweli!Wakat mnaingia nao mkataba jf ilihusika?
Achen polojo siziko kuwa na maana....!!!
Mahala sahihi Mahakaman sio jf. Usikute uliye leta habar hii na yeye anaiita mwanaume shenziiiii kabisa
Hahahahaahahaa Jux hata wewe !!?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ben pol unasemaje?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nyi endeleeni kupiga show tu, mtalipwa na Mungu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hahaa Jux hata wewe !!?