Wasanii hatupendi kuvaa hereni

Wasanii hatupendi kuvaa hereni

Kumbukumbuyatorati

Senior Member
Joined
Jul 27, 2018
Posts
152
Reaction score
221
Jamani chonde chonde wasanii hatupendi kuvaa hereni wala kutoboa pua zetu mashabiki ndio mnapenda tuwe hivi.

Vuta picha diamond anyoe upala awe anavaa kama lemutuz unafikiri ungempenda kama msanii?

GIGY MONEY sio kwamba hayapendi makalio yake la hasha anayapenda sana lakini mashabiki akiwaonyesha ndio mnapenda.

Hebu fikiria ALIKIBA angekuwa anavaa kama kangi lugola ninaimani hata mvumo wa radi msingeipenda.

MNATUONEA SANA WASANII MNATUTUMA TUVAE HERENI HALAFU MNATUTUKANA.
 
Last edited:
nkitaka mond apumuliwe mgongoni, atakubali ?
 
wakivaa kama kangi itapendeza zaidi
 
inamaana hata wema na wengine kina shishi wanalazimishwa?
 
Back
Top Bottom