Wasanii hawa hawajawahi kutoka ingawa hawajijui

Wasanii hawa hawajawahi kutoka ingawa hawajijui

Best nasso, sajna, sisal madini, jambo squad, mirror, babuu wa kitaa, country boy, stamina, bonta, jose mtambo,


Jose mtambo aliwahi kutoka ila baadae akarudi shimoni? Kithaa thaa ilimtoa mtambo
 
1. Kala Jelemiah -

2. Roma Mkatoliki - Huyu ni kama ameimba nyimbo moja tu toka aanze muziki nyimbo zake zote zinafanana- soon atapata stress huyu jamaa

3. Vanessa Mdee- Hajijui kama hajatoka na hawezi kutoka kwa kuwa hana kipaji

4. Luteni Karama- Hajawahi kutoka kama unabisha weka nyimbo iliyomtoa hapa

5. Pingu na Desso- Wanajijua hawajatoka

6. Abdu Kiba- Hajatoka ingawa hajijui

7. Snare

8. Ongeza na wewe

snura wa majanga

shilole

nuh mziwanda
 
Ukiona unapata shida kuikumbuka nyimbo basi ujue ni ya kawaida hata kama inamtaja mungu na inahubiri mema. Nyimbo nzuri huimbwa na kila mtu kama wimbo wa taifa

Nyimbo niliisikiliza mara moja vile sio mpenzi sana na hiyo miziki but ni track yenye ujumbe mzuri kwa jamii.nikiikumbuka ntaitaja hapa.
 
Back
Top Bottom