kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,893
- Thread starter
-
- #61
kama sijui je, nisiulize?
kuuliza si ujinga nami nikuulize hivi baba yako ni mwanaume au mwanamke?
Katoka nusu huyu
Hizo nyimbo ulizotaja zote hazijawatoa licha ya kupata promo..lakini hukatazwi kuzipenda na kuwapenda waimbaji wake si unajua penzi ni kikohozi!
1. Kala Jelemiah -
2. Roma Mkatoliki - Huyu ni kama ameimba nyimbo moja tu toka aanze muziki nyimbo zake zote zinafanana- soon atapata stress huyu jamaa
3. Vanessa Mdee- Hajijui kama hajatoka na hawezi kutoka kwa kuwa hana kipaji
4. Luteni Karama- Hajawahi kutoka kama unabisha weka nyimbo iliyomtoa hapa
5. Pingu na Desso- Wanajijua hawajatoka
6. Abdu Kiba- Hajatoka ingawa hajijui
7. Snare
8. Ongeza na wewe
Hii thread ya kichoko
swali la kitoto
ndio maana nimekuuliza mtoto
wewe ni s(hoga
KUsema Jose Mtambo hajatoka sidhani kama ni sahii coz' haielekei kama bado ana-fight kwenye game... jamaa ni old school lakini mpaka kesho anajua ile mbaya lakini kama ilivyo kwa old schools kibao, nadhani kaamua afanye mambo mengine coz' yeye kafanya muziki enzi za kutembea na tape mfukoni, tunatunga mida ya break, watu tunazama Jiteute kushindina kuchana... acha wanafunzi wa Dar tufeli... sie wengine hadi leo tunajiuliza tulifikaje fikaje tulikofika!!!Best nasso, sajna, sisal madini, jambo squad, mirror, babuu wa kitaa, country boy, stamina, bonta, jose mtambo,
Nyimbo niliisikiliza mara moja vile sio mpenzi sana na hiyo miziki but ni track yenye ujumbe mzuri kwa jamii.nikiikumbuka ntaitaja hapa.
Luteni Kalama ni mkali sana lakini nadhani hakuwa mzuri katika utunzi! Inspekta, alikuwa mkali sana wa kutunga sasa wakati Gangwe Mob ipo juu, Inspekta alikuwa na tabia akihisi kwamba nyimbo aliyoandika itakuwa kali basi alikuwa anaimba peke yake kv Mtoto wa Ghetto Kali na Asali wa Moyo! Nakumbuka enzi hizo maskani Kalama mwenyewe alishawahi kumnanga Inspekta kwamba alikuwa anamficha asionekane!
Ukitaka kumjua Kalama mbaya, tafuta ngoma moja inaitwa Bundesliga... Kalama kakimbiza balaa!

Sure... jamaa katembea sana kwenye ile ngoma! Sema hata Inspekta nae katembea sana kwenye tunajirusha... ni bonge la collabo hadi umenipa hamu ya kuitafuta tena ile ngoma.ipo nyingine inaitwa tunajirusha ameshirikishwa na nesacery noise pia amefanya vizuri