Wasanii hawa wabadilike mara moja

Wasanii hawa wabadilike mara moja

Free ideas

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Posts
3,497
Reaction score
2,026
Napenda kuchukua nafasi hii hapa jamvini, kuwashauri wasaniii wafuatao warudi katika mstari waache tabia hiyo. Sitaki kusema ni tabia gani lakini hii list mtu akisoma atajua ni tabia gani wanafanya. Hii itawakosti siku moja wasipoacha.

List ni hii:
1. TID
2. Daz Baba
3. Squezer
4. Chid Benzi
5. O-Ten
6. Mr. Blue
7. Ongezea wengine
 
hao wasanii mliowataja wamechoka vibaya,ukimuangalia mchizi mox,dark master na hao wengine uliowataja wamekuwa kama vibabu sura,midomo zimeasribika,unga sio mzuri,najua kuacha awawez tena,washapotea
 
hao wasanii mliowataja wamechoka vibaya,ukimuangalia mchizi mox,dark master na hao wengine uliowataja wamekuwa kama vibabu sura,midomo zimeasribika,unga sio mzuri,najua kuacha awawez tena,washapotea

Umeona ehh,tuwasaidie kabla mambo hayajawa yale ya kuchangishana
 
Msimsahau na Q Chillar nasikia nae kachoka mbaya na hio sembe maalum
 
Kwani rehema chalamila si nasikia anaendelea kubwia ray,c,alivyojiita eti yuko chaka bado
 
Back
Top Bottom