Wasanii hawa walikuja vizuri wakapotea

Umekosa wasanii wa kuwakumbuka? Hao walikuwa wanajaribu tu, hakuna msanii hapo
 
Dr Leader msambaa yupo Tanga ameachana na mziki anafanya biashara kuendesha familia yake, stend ya Tanga street no.12 ukimuulizia tu unampata umaarufu wake haujapotea kwa jamii ya karibu inayomzunguka.
 
Motika Record Kisosora hiyo, Mo kweli alishakwambia amefanya track nyingi tatizo ni Promo Wayback hiyo
Marehemu Mr Ebbo aliwatoa Mo kweli na Dr Leader

Mooti Production Mimi ni Dr leader ni Msambaa

Sijui Msambaa ukimpiga ni Lazima alipize...kitambo flani ivi
 
Dr Leader msambaa yupo Tanga ameachana na mziki anafanya biashara kuendesha familia yake, stend ya Tanga street no.12 ukimuulizia tu unampata umaarufu wake haujapotea kwa jamii ya karibu inayomzunguka.
Alikuja na mistari yake simpo na video simpo enzi hizo EAtv top ten Jamaa akaingia
 
Nani kakuambia walikuja vizuri?..hao hawajawahi kuja vizuri na hawajawahi kutoka..
Mbna ngoma zao zilipata promo sana Eatv top ten ulikua hukosi ngoma zao
 
walikuja 'kisanii' wakapotea 'kisanii' na wala sio ajabu kwa kuwa walikuwa 'wasanii'.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…