Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marehemu Mr Ebbo aliwatoa Mo kweli na Dr LeaderMotika Record Kisosora hiyo, Mo kweli alishakwambia amefanya track nyingi tatizo ni Promo Wayback hiyo
Alikuja na mistari yake simpo na video simpo enzi hizo EAtv top ten Jamaa akaingiaDr Leader msambaa yupo Tanga ameachana na mziki anafanya biashara kuendesha familia yake, stend ya Tanga street no.12 ukimuulizia tu unampata umaarufu wake haujapotea kwa jamii ya karibu inayomzunguka.
Ok sawa.Wanamuziki wa kitambo kidogo waliimba Music
Kwa Tanga nyimbo yake ilikuwa inafanya vizuri kwa muda mrefu sana kupitia TaTVAlikuja na mistari yake simpo na video simpo enzi hizo EAtv top ten Jamaa akaingia