The Ideologist
JF-Expert Member
- Nov 11, 2012
- 486
- 256
Kwa Tanga nyimbo yake ilikuwa inafanya vizuri kwa muda mrefu sana kupitia TaTV
hivi TaTV bado wanarusha matangazo yao?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa Tanga nyimbo yake ilikuwa inafanya vizuri kwa muda mrefu sana kupitia TaTV
hivi TaTV bado hipo?
Hipo ndio nini we msambaa
Hipo????
Kweli wewe msambaa.
Haipo kwa sasa, imefungiwa mkuu.hivi TaTV bado wanarusha matangazo yao?
na yule aliyeimba KUKU KAPANDA BAISKELI yuko wapi