Unapozungumzia burudani hasa muziki wa bongo fleva mawingu wapo juu,wanauwezo wa kukushusha wa kutopiga nyimbo zako,au kwa kushirikiana na wadau wa musiki huo kama Fella,Tale na wengine kwamba yule dogo hakikisheni hatambi na kweli unapotezwa, kuhusu Belle 9/ 20 centi waliwaambuia wafanye nao kazi yaani wawasimamie, madogo wakakataa matokeo yake....... unayajua.