Wasanii hawa wana vipaji, ila 'wanazingua'

Wasanii hawa wana vipaji, ila 'wanazingua'

Kuna radio ngapi hapa Tanganyika?

Unapozungumzia burudani hasa muziki wa bongo fleva mawingu wapo juu,wanauwezo wa kukushusha wa kutopiga nyimbo zako,au kwa kushirikiana na wadau wa musiki huo kama Fella,Tale na wengine kwamba yule dogo hakikisheni hatambi na kweli unapotezwa, kuhusu Belle 9/ 20 centi waliwaambuia wafanye nao kazi yaani wawasimamie, madogo wakakataa matokeo yake....... unayajua.
 
20% akiacha usela mavi atafika mbali,belle9 akaze tu mbona vitamin music inapata airtime tu sio lazima ipigwe clouds.
 
Back
Top Bottom