Wasanii huwa wanakunywa nini kwenye haya makombe makubwa?

Ningeshangaa kama Young Mulla asingeonekana kwwnye huu uzi. Anyway, wanapiga pombe kali au juice au Mkojo.
 
Juice maji soda bia pombe kali. Kwa kifupi kinywaji chochote japo mara nyingi huwa pombe sababu huwa ni ngumu kubeba chupa
 
walioanzisha mtindo huu walikuwa wanaweka dawa ya kifua ikichangwa na soda(hasa sprite)...
ila wanaoiga wengi huweka pombe.
 
walioanzisha mtindo huu walikuwa wanaweka dawa ya kifua ikichangwa na soda(hasa sprite)...
ila wanaoiga wengi huweka pombe.
Lengo la huo mchanganyiko ni nini mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…