Hahahah! Hapana mkuu, mwenyewe nmeona kwa mchango wako hapo juu.. Uko vyema
boss unajua kiungo kikuu kwenye dawa za kifua ni nini?? ukijua rejea kwa hao akina migos & wayne ndio utajua nini nilikuwa namaanishasio dawa ya kifua na sprite ni kuna dawa za kulevya ambazo ukichanganya na sprite unafeel uko high sikiliza vzuri nyimbo ya migos cocoon
CODEINE BOSS SOMETIMES UNAWEZA TUMIA KAMA DAWA ZA KULEVYA WHEN YOU DRINK IT AND SMOKIN GANJA AT THE SAME TIMEboss unajua kiungo kikuu kwenye dawa za kifua ni nini?? ukijua rejea kwa hao akina migos & wayne ndio utajua nini nilikuwa namaanisha
Hamnaga kitu, no swaga tuuuNi nini kinakuwaga kwenye haya makombe?
View attachment 858064View attachment 858065View attachment 858066
JUISI YA CHUNGWANi nini kinakuwaga kwenye haya makombe?
View attachment 858064View attachment 858065View attachment 858066