Wasanii huwa wanakunywa nini kwenye haya makombe makubwa?

Wasanii huwa wanakunywa nini kwenye haya makombe makubwa?

na mimi ndomana nakuuliza wew mkuu why wameifuta comment yangu?? mana wew ndo mwenye uzi
Kwa kweli sijui mkuu, nadhani watakuwa wameona jibu lako halina uhalisia kutokana na swali
 
Kwenye hiyo picha Lil Wayne anaonekana ameshishika STARBUCKS COFFEE
 
sio dawa ya kifua na sprite ni kuna dawa za kulevya ambazo ukichanganya na sprite unafeel uko high sikiliza vzuri nyimbo ya migos cocoon
boss unajua kiungo kikuu kwenye dawa za kifua ni nini?? ukijua rejea kwa hao akina migos & wayne ndio utajua nini nilikuwa namaanisha
 
boss unajua kiungo kikuu kwenye dawa za kifua ni nini?? ukijua rejea kwa hao akina migos & wayne ndio utajua nini nilikuwa namaanisha
CODEINE BOSS SOMETIMES UNAWEZA TUMIA KAMA DAWA ZA KULEVYA WHEN YOU DRINK IT AND SMOKIN GANJA AT THE SAME TIME
 
Sasa kama wanaogopa promo za vinywaji,vipi kuhusu promo ya hayo makopo mekundu au kila msanii ana kiwanda cha kutengeneza hayo makopo nyumbani?
 
Mbele hizo double cups wanawekaga Lean a.k.a Purle Drank,.. ni mchanganyiko wa sprite na cough syrup plus candy,.. huo mchanganyiko ni kilevi. Ila Dai I guess humo kaweka alcohol tu.
 
Back
Top Bottom