Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Juice maji soda Bianca pombe kali. Kwa kifupi kinywaji chochote japo mara nyingi huwa pombe sababu huwa ni ngumu kubeba chupa
Thanks bro. Nliambiwa we ndo genius wa haya mambo🙂😛Wasanii ni brands, so huwa wanajitahidi kutoonekana wanakunywa kinywaji ambacho hawana endorsement nacho.
Ila kama ana endorsement utakuta chupa iko kando, au hicho kikombe kinakuwa na label husika.
Kwa washabiki wa Basket kuna mchezaji anaitwa LeBron James, yeye ana endorsement na kampuni ya maji inaitwa Powerade, wakati ligi ya NBA iko na endorsement ya Gatorade.
Sasa muda wa game inabidi afiche label kwa sababu ya kukwepa conflicts.
why????Pole
Ha ha ha😀😀
Mimi ndo nmekaribishwa bro
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mbn saiv ndo glass za pub
Thanks bro. Nliambiwa we ndo genius wa haya mambo🙂😛
😀😀
Mimi ndo nmekaribishwa bro
Afu kweli mkuu, au ni disposable?
Haya mambo ya burudani na michezo kwa ujumla.. Alinambia Humble African
sio dawa ya kifua na sprite ni kuna dawa za kulevya ambazo ukichanganya na sprite unafeel uko high sikiliza vzuri nyimbo ya migos cocoonwalioanzisha mtindo huu walikuwa wanaweka dawa ya kifua ikichangwa na soda(hasa sprite)...
ila wanaoiga wengi huweka pombe.