beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,880
- 6,368
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limewataka Wasanii hao kufika katika ofisi za Baraza hilo siku ya kesho, Julai 17 kufuatia kitendo chao cha kuwarushia fedha Waandishi wa Habari wakati wa Kikao jana Julai 15
Hata hivyo, Uwoya amewaomba radhi Waandishi kufuatia kitendo hicho kilichopelekea baadhi ya waandishi kuharibu baadhi ya vifaa vyao kutokana na vurugu zilizotokea wakati wa kudaka fedha hizo alizokuwa anarusha
Amesema hakufanya hivyo kwa lengo la kudhalilisha waandishi wa habari kama ambavyo imetafsiriwa na watu wengi, kwani dhahiri anatambua umuhimu mkubwa wa waandishi wa habari katika jamii
www.jamiiforums.com

Alichokifanya Irene Uwoya kwenye utambulisho wa Swahiliflix ni ushamba na urimbukeni wa pesa
Tazama video hii kuanzia dakika ya 37