Sikiliza dadangu, nimeuliza swali! Endapo ungekuwa na akili kama unavyotaka watu waamini kiasi cha kujiita cleverbright wakati unaonesha ni mburula tu, basi ungejibu hilo swali, lakini kama upo desparate na visa vya mumeo, tafuta kwa kuelekeza hizo desparation zako!Kama mpaka sasa hujagundua Kosa lake basi nikiri wazi wazi kuwa huenda Tanzania ya sasa kuna Watu wengi wenye tatizo Kubwa la Akili ila Wao hawajajigundua tu.
Sijaelewa! Kwahiyo kosa la Irene ni kurusha pesa ambazo kila leo huwa zinarushwa kwenye kumbi za starehe; au kosa lake ni kuwarushia Waandishi wa Habari?!
Kauliza swali la msingi sana, badala ujibu unaleta ngonjera, hujatendea haki maana ya 'clever n bright'Kama mpaka sasa hujagundua Kosa lake basi nikiri wazi wazi kuwa huenda Tanzania ya sasa kuna Watu wengi wenye tatizo Kubwa la Akili ila Wao hawajajigundua tu.
Kiufupi Basata hawajitambui.Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limewataka Wasanii hao kufika katika ofisi za Baraza hilo siku ya kesho, Julai 17 kufuatia kitendo chao cha kuwarushia fedha Waandishi wa Habari wakati wa Kikao jana Julai 15
Hata hivyo, Uwoya amewaomba radhi Waandishi kufuatia kitendo hicho kilichopelekea baadhi ya waandishi kuharibu baadhi ya vifaa vyao kutokana na vurugu zilizotokea wakati wa kudaka fedha hizo alizokuwa anarusha
Amesema hakufanya hivyo kwa lengo la kudhalilisha waandishi wa habari kama ambavyo imetafsiriwa na watu wengi, kwani dhahiri anatambua umuhimu mkubwa wa waandishi wa habari katika jamii
Alichokifanya Irene Uwoya kwenye utambulisho wa Swahiliflix ni ushamba na urimbukeni wa pesa
Tazama video hii kuanzia dakika ya 37www.jamiiforums.com
Hawezi kuwa na jibu, kwa sababu kakariri kwamba kuna kosa limefanyika kwa sababu tu BASATA wamewaita hao watu!Kauliza swali la msingi sana, badala ujibu unaleta ngonjera, hujatendea haki maana ya 'clever n bright'
Sikiliza dadangu, nimeuliza swali! Endapo ungekuwa na akili kama unavyotaka watu waamini kiasi cha kujiita cleverbright wakati unaonesha ni mburula tu, basi ungejibu hilo swali, lakini kama upo desparate na visa vya mumeo, tafuta kwa kuelekeza hizo desparation zako!
Jibu swali, na kama huna jibu, piga kimya!
Kauliza swali la msingi sana, badala ujibu unaleta ngonjera, hujatendea haki maana ya 'clever n bright'
Badala ya kuendelea kujigamba kwa kujiona wewe ndo mwelewa sana, a smart move ni kujibu nilichouliza! Sasa ni uelewa gani ulionao wewe ikiwa unashindwa hata kufahamu kwamba palipo na swali panahitaji jibu?! Yaani seriously kwa comment zako hiyo wakiitwa watoke mbele wenye uwezo wa kufikiri na kujenga hoja na wewe utatoka mbele?!Mpaka sasa hivi bado hujajua Kosa la Irene Uwoya? Sekta ya Elimu Tanzania yawezekana ikawa bado ina Safari ndefu ya Kuhakikisha Watanzania wengi hawaishii tu Kuelimika bali pia wanaboresha na uwezo wao wa Kufikiri na kujenga Hoja.
Badala ya kuendelea kujigamba kwa kujiona wewe ndo mwelewa sana, a smart move ni kujibu nilichouliza! Sasa ni uelewa gani ulionao wewe ikiwa unashindwa hata kufahamu kwamba palipo na swali panahitaji jibu?! Yaani seriously kwa comment zako hiyo wakiitwa watoke mbele wenye uwezo wa kufikiri na kujenga hoja na wewe utatoka mbele?!
Sio tufanye nimeshinda, in short umeshindwa kulielezea kosa la Irene Uwoya!Basi tufanye tu umeshinda au?
Sio tufanye nimeshinda, in short umeshindwa kulielezea kosa la Irene Uwoya!
Ule haukuwa ukumbi wenye sherehe japo linaweza kuwa eneo lenye kuchukua shughuli za sherehe. That was press conference Ndugu, simply as that.Sijaelewa! Kwahiyo kosa la Irene ni kurusha pesa ambazo kila leo huwa zinarushwa kwenye kumbi za starehe; au kosa lake ni kuwarushia Waandishi wa Habari?!
Njaa aina baunsaNi Balaaaa
Njaa Kali Njaa