Wasanii Irene Uwoya na Steve Nyerere waitwa BASATA baada ya kuwarushia Wanahabari pesa

Kama mpaka sasa hujagundua Kosa lake basi nikiri wazi wazi kuwa huenda Tanzania ya sasa kuna Watu wengi wenye tatizo Kubwa la Akili ila Wao hawajajigundua tu.
Sikiliza dadangu, nimeuliza swali! Endapo ungekuwa na akili kama unavyotaka watu waamini kiasi cha kujiita cleverbright wakati unaonesha ni mburula tu, basi ungejibu hilo swali, lakini kama upo desparate na visa vya mumeo, tafuta kwa kuelekeza hizo desparation zako!

Jibu swali, na kama huna jibu, piga kimya!
 
Baraza la Habari ndo linapaswa liwaite hao watu wao.

Kulikuwa na haja gani ya kusambaza mitandaoni hilo tukio la fedheha?
 
Sijaelewa! Kwahiyo kosa la Irene ni kurusha pesa ambazo kila leo huwa zinarushwa kwenye kumbi za starehe; au kosa lake ni kuwarushia Waandishi wa Habari?!
Kama mpaka sasa hujagundua Kosa lake basi nikiri wazi wazi kuwa huenda Tanzania ya sasa kuna Watu wengi wenye tatizo Kubwa la Akili ila Wao hawajajigundua tu.
Kauliza swali la msingi sana, badala ujibu unaleta ngonjera, hujatendea haki maana ya 'clever n bright'
 
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limewataka Wasanii hao kufika katika ofisi za Baraza hilo siku ya kesho, Julai 17 kufuatia kitendo chao cha kuwarushia fedha Waandishi wa Habari wakati wa Kikao jana Julai 15

Hata hivyo, Uwoya amewaomba radhi Waandishi kufuatia kitendo hicho kilichopelekea baadhi ya waandishi kuharibu baadhi ya vifaa vyao kutokana na vurugu zilizotokea wakati wa kudaka fedha hizo alizokuwa anarusha

Amesema hakufanya hivyo kwa lengo la kudhalilisha waandishi wa habari kama ambavyo imetafsiriwa na watu wengi, kwani dhahiri anatambua umuhimu mkubwa wa waandishi wa habari katika jamii

Kiufupi Basata hawajitambui.
 
Kauliza swali la msingi sana, badala ujibu unaleta ngonjera, hujatendea haki maana ya 'clever n bright'
Hawezi kuwa na jibu, kwa sababu kakariri kwamba kuna kosa limefanyika kwa sababu tu BASATA wamewaita hao watu!
 
Sikiliza dadangu, nimeuliza swali! Endapo ungekuwa na akili kama unavyotaka watu waamini kiasi cha kujiita cleverbright wakati unaonesha ni mburula tu, basi ungejibu hilo swali, lakini kama upo desparate na visa vya mumeo, tafuta kwa kuelekeza hizo desparation zako!

Jibu swali, na kama huna jibu, piga kimya!

Mpaka sasa hivi bado hujajua Kosa la Irene Uwoya? Sekta ya Elimu Tanzania yawezekana ikawa bado ina Safari ndefu ya Kuhakikisha Watanzania wengi hawaishii tu Kuelimika bali pia wanaboresha na uwezo wao wa Kufikiri na kujenga Hoja.
 
wandishi na nyie kumbe mna njaa eh ?😂😂😂
 
Mpaka sasa hivi bado hujajua Kosa la Irene Uwoya? Sekta ya Elimu Tanzania yawezekana ikawa bado ina Safari ndefu ya Kuhakikisha Watanzania wengi hawaishii tu Kuelimika bali pia wanaboresha na uwezo wao wa Kufikiri na kujenga Hoja.
Badala ya kuendelea kujigamba kwa kujiona wewe ndo mwelewa sana, a smart move ni kujibu nilichouliza! Sasa ni uelewa gani ulionao wewe ikiwa unashindwa hata kufahamu kwamba palipo na swali panahitaji jibu?! Yaani seriously kwa comment zako hiyo wakiitwa watoke mbele wenye uwezo wa kufikiri na kujenga hoja na wewe utatoka mbele?!
 
Sasa kosa lake ni nini? Pesa si zake. pesa zenyewe pengine ni lakin 5 tu.
 
Badala ya kuendelea kujigamba kwa kujiona wewe ndo mwelewa sana, a smart move ni kujibu nilichouliza! Sasa ni uelewa gani ulionao wewe ikiwa unashindwa hata kufahamu kwamba palipo na swali panahitaji jibu?! Yaani seriously kwa comment zako hiyo wakiitwa watoke mbele wenye uwezo wa kufikiri na kujenga hoja na wewe utatoka mbele?!

Basi tufanye tu umeshinda au?
 
Sasa hapo jamani wa kulauliwa waandishi ama Uwoya? Huenda akawa na kesi yake ,yeye Uwoya, mlalamikaji akawa Jamhuri kwa kubagaza mali ya jamhuri,lakini ,suala la dharau kwa waandishi sioni kama lina mashiko.Hilo ni kosa la waandishi wenyewe,kama wangekausha na pengine kuwa wakali hapohapo wakati wa tukio sidhani kama tungefika hapa.
 
Sijaelewa! Kwahiyo kosa la Irene ni kurusha pesa ambazo kila leo huwa zinarushwa kwenye kumbi za starehe; au kosa lake ni kuwarushia Waandishi wa Habari?!
Ule haukuwa ukumbi wenye sherehe japo linaweza kuwa eneo lenye kuchukua shughuli za sherehe. That was press conference Ndugu, simply as that.
 
Back
Top Bottom