Wasanii Justin Bieber na Selena Gomez warudiana

Mbna Justine sasa hivi katulia sana sisikii makeke yake kama zamani,

Kesho utaskia katoa Album na kauza Platnumz ndani ya siku 2.... Bongo sijui wamemkosea nn Mungu msanii anatoa album anauza copy kumi tu tena kwa kuzisambaza mwenyewe
Bongo watalogana mpaka
Kufa kwao
 
In kUOTE="usser, post: 24479875, member: 327659"]Hapa ndo unaona mwanaume huumia
zaid
Akiachwa na mwanamke

Kuliko mwanamke kuachwa na
Mwanaume[/QUOTE]
Ni kweli.......ila sasa mkaka akishaumia ivo ndo ntokee.kifuatacho ni kutembeza rungu,maumivu kwao ni hadithi.lakin wanawake wanaumia Mara kwa Mara
 
Wengi wamekariri mapenzi ya kibongo,watu wakiigiza filamu moja usteling kisha wanaishia kukwich kwich kikweli kweli.

Kajol ana mume wake nae msanii mkubwa wa movie hizo za kihindi jamaa ana vituko
Hawakuwahi kua couple
 
Wengi wamekariri mapenzi ya kibongo,watu wakiigiza filamu moja usteling kisha wanaishia kukwich kwich kikweli kweli.

Kajol ana mume wake nae msanii mkubwa wa movie hizo za kihindi jamaa ana vituko
Wamekremu[emoji2] [emoji2] [emoji2] kajol kaolewa 1999 na ajay devgn huku SRK kaoa 1992 wabongo nooma
 
Dah nilipenda sana alivyokua anadate na the weeknd ,ila shida jamaa kazidi ukauzu ndio mana akakata mahusiano na mtt mzuri ka selena, nikipata demu ka huyo siachi adi kifo aise, bieber ndio final destination ya selena inafahamika ata wakiachana kwa miaka lazma warudiane tu sio mara ya kwanza, may they grow old together... Love walks tall.
 
Yaan bora kuamin mapenzi ya movie za kikorea kuliko movie za wahindi
Hivi mkuu wakorea hawachepuki?
Maana ukiangalia content ya movie zao nyingi za mapenzi naona hawana ishu za michepuko, na sanaa na uwasilishi wa kile kilichopo kwenye jamii yako.
Naomba kupata Abc kuhusu mapenzi ya watu wa bara la Asia..
 
Wanachepuka sana na kutosana kwa hali ya juu. Tena wengi wana watoto wa nje ila wanawaficha. Siijui historia yao kwa undani,nenda jukwaa la entertainment kuna thread maalum ya movie za kikorea Damushin atakupa habari nyingi za hawa watu

Noted mkuu,
 
Let me go!
 
Back
Top Bottom