Bongo watalogana mpakaMbna Justine sasa hivi katulia sana sisikii makeke yake kama zamani,
Kesho utaskia katoa Album na kauza Platnumz ndani ya siku 2.... Bongo sijui wamemkosea nn Mungu msanii anatoa album anauza copy kumi tu tena kwa kuzisambaza mwenyewe
[emoji85] [emoji85]Fumba macho nikuombee
Mkuu mwenyewe nimekataliwa kikubwa tuungane kwenye maombi tu[emoji85] [emoji85]
Hawakuwahi kua coupleMi nasubir shahrukh khana na kajol
Wamekremu[emoji2] [emoji2] [emoji2] kajol kaolewa 1999 na ajay devgn huku SRK kaoa 1992 wabongo noomaWengi wamekariri mapenzi ya kibongo,watu wakiigiza filamu moja usteling kisha wanaishia kukwich kwich kikweli kweli.
Kajol ana mume wake nae msanii mkubwa wa movie hizo za kihindi jamaa ana vituko
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Justine angeendelea kuwa single angedanja
Movie za kihindi unaamini hii couple kabisaa....!!!kumbe wanaigiza ila wengi wasanii wa kule wanaolewa kidogoYaan bora kuamin mapenzi ya movie za kikorea kuliko movie za wahindi
Hivi mkuu wakorea hawachepuki?Yaan bora kuamin mapenzi ya movie za kikorea kuliko movie za wahindi
Sie huyo ....hapa tunamzungumzia yule wa kibonde maji mkuuSelena huyu huyu wa hapa Ununio?
Hivi mkuu wakorea hawachepuki?
Maana ukiangalia content ya movie zao nyingi za mapenzi naona hawana ishu za michepuko, na sanaa na uwasilishi wa kile kilichopo kwenye jamii yako.
Naomba kupata Abc kuhusu mapenzi ya watu wa bara la Asia..
Kwa hiyo mungu amejibu maombi yako ya kutaka waendelee kuzini na kumtenda dhambi? Hivyo Mungu ameidhinisha uzinzi wao?!Mungu amejibu maombi
Kila leo naliomba hawa watu warudiane
Let me go!Wanachepuka sana na kutosana kwa hali ya juu. Tena wengi wana watoto wa nje ila wanawaficha. Siijui historia yao kwa undani,nenda jukwaa la entertainment kuna thread maalum ya movie za kikorea Damushin atakupa habari nyingi za hawa watu