Wasanii Kilimanjaro wavutiwa na uteuzi wa Jokate Mwegelo UWT, warudisha kadi za upinzani

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
WASANII KILIMANJARO WAVUTIWA NA UTEUZI WA JOKATE MWEGELO UWT, WARUDISHA KADI ZA UPINZANI

Wasanii Kutoka Mkoa wa Kilimanjaro wahamasika na Uteuzi wa Katibu Wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ndg. Jokate Mwegelo na Wajiunga na CCM warudisha Kadi za vyama vya Upinzani hayo yamefanyika katika Maadhimisho ya wiki ya UWT mwezi Oktoba, 2023.

Wasanii hao walikabidhiwa Kadi za Uanachama na Mwenyekiti wa UWT wilayani Moshi Vijijini Ndg. Ruwaicha Kaale.

IMG-20231030-WA0037.jpg
 
View attachment 2797933
Wamemteua kuwa katibu wa UWT... Je ana familia!? Mume anaetambulika!?

Msela Hawezi kuongoza JUMUIYA!!

Uongozi unaanzia ngazi ya familia

CCM Wana vituko
 
WASANII KILIMANJARO WAVUTIWA NA UTEUZI WA JOKATE MWEGELO UWT, WARUDISHA KADI ZA UPINZANI

Wasanii Kutoka Mkoa wa Kilimanjaro wahamasika na Uteuzi wa Katibu Wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ndg. Jokate Mwegelo na Wajiunga na CCM warudisha Kadi za vyama vya Upinzani hayo yamefanyika katika Maadhimisho ya wiki ya UWT mwezi Oktoba, 2023.

Wasanii hao walikabidhiwa Kadi za Uanachama na Mwenyekiti wa UWT wilayani Moshi Vijijini Ndg. Ruwaicha Kaale.

View attachment 2797933
ni mwanzo tu..... Ni haki pia kwa mwananchi kujiunga na chama cha siasa anachokipenda....
Hongera Jocketi
 
Mbona Lyimo simuoni hapo kwenye picha! Au kunywa mbege na kiburu sikuhizi ni usanii?
 
Siasa pamoja na kuwa ni Usanii ni Biashara ? Commodity chache zilizobaki hii scenario sijui imegharimu kiasi gani
 
Back
Top Bottom