Hapo mazwazwa akina nani? Chadema au CCM?Nchi ina mazwazwa wengi. Ngumu sana kuendelea.
Wamemteua kuwa katibu wa UWT... Je ana familia!? Mume anaetambulika!?WASANII KILIMANJARO WAVUTIWA NA UTEUZI WA JOKATE MWEGELO UWT, WARUDISHA KADI ZA UPINZANI
Wasanii Kutoka Mkoa wa Kilimanjaro wahamasika na Uteuzi wa Katibu Wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ndg. Jokate Mwegelo na Wajiunga na CCM warudisha Kadi za vyama vya Upinzani hayo yamefanyika katika Maadhimisho ya wiki ya UWT mwezi Oktoba, 2023.
Wasanii hao walikabidhiwa Kadi za Uanachama na Mwenyekiti wa UWT wilayani Moshi Vijijini Ndg. Ruwaicha Kaale.
View attachment 2797933
ni mwanzo tu..... Ni haki pia kwa mwananchi kujiunga na chama cha siasa anachokipenda....WASANII KILIMANJARO WAVUTIWA NA UTEUZI WA JOKATE MWEGELO UWT, WARUDISHA KADI ZA UPINZANI
Wasanii Kutoka Mkoa wa Kilimanjaro wahamasika na Uteuzi wa Katibu Wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ndg. Jokate Mwegelo na Wajiunga na CCM warudisha Kadi za vyama vya Upinzani hayo yamefanyika katika Maadhimisho ya wiki ya UWT mwezi Oktoba, 2023.
Wasanii hao walikabidhiwa Kadi za Uanachama na Mwenyekiti wa UWT wilayani Moshi Vijijini Ndg. Ruwaicha Kaale.
View attachment 2797933
kwahiyo weusi mwamba wa kaskazini na weusi camp ni weupe right??Wachagga kuna Wasanii?
kwahiyo weusi mwamba wa kaskazini na weusi camp ni weupe right??
X plastaz ni wagogo kumbeJo si mchagga
CCM. Wanafanya maigizo ya kijinga sana.Hapo mazwazwa akina nani? Chadema au CCM?