Wasanii kushiriki kampeni, tusitegemee Muziki wetu kwenda Kimataifa

Daaaah... Mziki wa Bongo unawachambuzi wengi🙇🙇🙇
Ila huyu cjamuelewa nazan atakuwa kigogo
 
Watanzania tuna unafki sana.
 
Wapi mleta mada kasema ccm? Kwani ukiwa mataga unaamua kuwa mpumbavu??

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Hilo suala la kujifanya huoni ni kweli wasanii waliotumika kwenye kampeni ya chama fulani ndio wamekutana na shida hiyo tena sio wote maana sijaona wakifuatwa akina Hbaba wala Man fongo na kingine ulishawahi kuona msanii kama Profesa Jay anasumbuliwa hivyo kisa yeye ni chama fulani. Muda mwingine ni busara kuwa na mahaba ya wastani unapotoa hoja yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…