NgugiAchebe
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 1,024
- 688
Kwa mujibu wa mtandao wa edaily barani Africa umetoa orodha ya WASANII wenye mkwanja mrefu zaidi na wanaoingiza kipato kikubwa
1 P square wanamiliki mkwanja sawa na sh bl 277.752.822.639.34 kwa pesa za magufuli
2 Akothe mwana Dada kutoka Kenya ambae hana jina mama WASANII wengine ila anamkwanja balaa anamiliki pesa za kibongo sh bl 132.683.540.000.03
3. Davido. Licha ya kuzalia kwenye familiar yenye mkwanja mrefu na tajiri nchini Nigeria lakini bado aliangaika kutafuta mkwanja wake kupitia sanaa anamiliki sh bl 30.502.418.406.03
4 wizkid toka nchini Nigeria pia aniliki mkwanja mrefu wenye samani sh 25.676.809.453.47 pesa za kibongo
5 diamond platnum ni msanii pekee toka Tanzania licha ya kutoka kwenye familiar masikini kabisa lakini amejitaidi na kutorudi nyuma na kufanikia kupata mkwanja mrefu kupitia muziki wake anaofanya na kupitia matangazo ya kibiashara aliopata yamemuezesha kupata mkwanja wenye thamani sh 11. 665.923.190.55
Hapo WASANII wetu was kibongo inabidi wafunge mkanda na kutopenda sofa za kijinga ili kufika mafanikio hao wasiendekeze chuki na kujiona bora kumbe bado kabisa