Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Wakuu
Kama mnavyoona picha hapo chini, Ingawa ni haki yao kushiriki, ni muhimu kujiuliza: Je, wasanii hawa wanapochangia katika majukwaa ya kisiasa wanachangia kwa lengo la kuleta mabadiliko ya Kimaendeleo au Wanatumika kama vifaa vya kuendeleza agenda za kisiasa za CCM?
===
Wasanii mbalimbali nchini tayari wamefika makao makuu ya nchi Jijini Dodoma kwa ajili ya tukio kubwa la Mkutano Mkuu maalum wa Chama cha Mapinduzi.
Januari 18 na 19 utafanyika Mkutano mkuu maalum wa Chama cha Mapinduzi CCM Jijini Dodoma katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete.
Wajumbe wote mnakaribishwa Dodoma na mkutano huo utaongozwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan. Chama imara huzaa Serikali imara.
Pia, Soma: